Maombi hayatuepushi na mabaya

Maombi hayatuepushi na mabaya

Siku ya ubaya itakuja tu hata ukiomba
Mithali 16:4
[4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;
Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.

Ayubu 2:10
[10]Lakini yeye akamwambia, Wewe wanena kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu anenavyo. Je! Tupate mema mkononi mwa Mungu, nasi tusipate na mabaya?

Mhubiri 3:4 kila jambo na wakati wake
[4]Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka;
Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza;
 
Kufanikiwa na kutofanikiwa kwa maombu kunasababishwa na wew mwenyew
👉unashindwa kutambua law of belief
👉Pia umeshundwa kufahamu how world within na world without zinavyowasiliana
👉umeshindwa kuelewa power of your subconcious mind
 
Unaongea kirahisi sana.
We unafahamu how world within na world without zinavyowasiliana?
 
Ukishaona unahitaji kuomba huo ni uthibitisho Mungu hayupo.

Angekuwepo, usingehitaji kuomba. Mungu angekupa unachotaka kabla hujaomba.
Isa 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.
 
Kusema ukweli sijawahi kuamini stori za motoni. Sina hofu yoyote
Wewe amua upande wako. Ila usishawishi wengine kua uliko ni sahihi.
Acha kujenga hofu kuhusu Moto, maana hata kama upo ni kua utaungua na kufa watakao baki maisha yanasonga tu.

Kuwa wewe.
 
Tunapuuza ujumbe wako kwakua hatuna shaka kuhusu kuwepo na nguvu ya maombi.
Kinacho angaliwa hapo nikwamba unaomba ukiwa katika frequency
Ipi??
Ukiwa down yani iman yako ipo chini maombi hua hayatokei kwanamna yoyote ile.
 
Mkuu nina imani ndiyo maana nasali sana, Lakini maombi hayajibiwi.
Maombi kujibiwa wakati mwingine ili yajibiwe inahitajika maombi ya ambatane na kufunga/fasting+sadaka,na wakati mwingine Mungu anajibu kwa wakati wake hakawii wala hawai.Uvumilivu ni tunda la Roho,na imani isiyo na mashaka kwa Mungu hata unapohisi maombi yamechelewa kujibiwa.,pia imani iambatane na matendo mema.Mungu anasikiliza zaidi maombi ya wenye Haki(wanaotenda mema na wasiotenda dhambi mana dhambi inakutenga na Mungu)Hivyo tujitakase tusafishe matendo yety na TOBA.
 
nafahamu ndo maana nikaongea hiko kitu
Narudia tena acha kuongea kirahisi Ndugu yangu.
 
M
Unaongea kirahisi sana.
We unafahamu how world within na world without zinavyowasiliana?
we ndo unaonekana huna ufahamu wa hayo mambo omba watu wakusaidie na uleweshwe kuhusu laws of universe and how is operated

Ulimwengu hautambui lugha bali ulimwengo unarespond throug frequenc ambazo zinapelekea law of vibration ambayo ni chanzo desired effect

Ili ufanikiwe inatakiwa uchange cause na cause ni the way you think(Thought)

Ili maombi yako yafanikiwe inatakiwa uwe na constructive thoughts
 
Narudia tena acha kuongea kirahisi Ndugu yangu.
Sijaonge kiurahisi ndugu yangu bali nimejaribu kufupisha

Nenda kapitie atleast hv vitabu utapata kuelewa kutu ambacho naongea kwa ufupi
👉power of subconcious mind by joseph murphy(1988) na
👉The master key system by charles F Haanel(1912)

#kataa ndoa
#kama sio bikra usioe.
 
Isa 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.
Sasa kama anajibu kabla hawajaomba, wanaomba nini hapo?

Biblia ni kitabu kilichoungaunga uongo mwingi, nikikuwekea contradictions zilizopo kwenye Bibkia huwezi kumaliza kuzijibu hapa.

Bisha.
 
Back
Top Bottom