Maombi kwa TFF juu ya uhuni wa Lamine Moro

Maombi kwa TFF juu ya uhuni wa Lamine Moro

Ujue watu wanaangalia alichokifanya Moro tu hawaoni undava waliokuwa wanaufanya hao jamaa zao wa jkt hz timu za majeshi zinakuwaga na ubabe wa kishamba sana kiuanamichezo Moro kafanya kosa kubwa professional hapaswi kufanya vile ila nisiwe mbafki kwa upande wangu kanifurahisha maana mzozo ulianzia Sibomana alipofanyiwa foul na kuanza kukanyagwa ple chini mbona hii hamsemi?

Fey na Niyonzima wakawafata vp mtu mmeshamchezea foul na bado mnamkanyaga kanyaga ple chini? Eeee wanaleta undava kisa wajeda Lamine Moro akawaonesha kazi mpira mchezo wa kihuni sometimes tunahitaji vitu km hv ili tusichukuliane poa sana tuheshimiane uwanjani usimchukulie mwenzio mnyonge kwamba unamuweza sana!
cheza rafu kwenye movement za kimpiraa
sasaa mtu kasimama mpira haupo unakuja kumpiga mwenzio
ni upumbavu kupitiliza na kuzidi kulipaka matope soka letuu
mambo haya tumezoea kuyaona huku kwenye makombe ya mchele kilo mbili na jogoo
 
Wangeanza na pascal wawa aliyekwenda kumkanyaga kwamaksudi Ditram Nchimbi nje ya uwanja tena bila mpira.
Paschal Wawa hakucheza kabisa mechi ya jana, aliachwa Dar es Salaam
 
JKT wamerithi ubabe wa rafu kutoka kwa Mgambo,Lamine alichofanya ni sahihi kabisa.
Ni sahihi sawa, ila gharama zake ataziona. Atafungiwa mashindano yote yanayoandaliwa na TFF, ikiwamo kombe la shirikisho
 
Wewe simba hebu , nawa mikono na sanitizer ukalale habari za yang a waachie wana yanga hujaona club imemuonya na adhabu

Klabu kumuonya ni jambo moja, ila TFF lazima ichukue hatua pía ikiwezekana imfungie hata miezi mitatu!
Lile daruga aliloruka lilikuwa hatari sana angeweza kumtegua kiuno mwanaume mwenzake
 
Kamati ya TFF inayotoa adhabu kwa makosa yasiyoonwa na refa ni hovyo inapaswa nayo iadhibiwe ;

1- Wawa vs Nchimbi
2- Chama vs Fei
3- Morrisson vs Prison
4- Mkude vs Biashara

Kutoa adhabu kwa Lamine ni udhaifu red card inatosha maisha yaendelee

Kamati ndo iadhibiwe ipasavyo.
 
Back
Top Bottom