Maombi kwa TFF juu ya uhuni wa Lamine Moro

cheza rafu kwenye movement za kimpiraa
sasaa mtu kasimama mpira haupo unakuja kumpiga mwenzio
ni upumbavu kupitiliza na kuzidi kulipaka matope soka letuu
mambo haya tumezoea kuyaona huku kwenye makombe ya mchele kilo mbili na jogoo
 
Wangeanza na pascal wawa aliyekwenda kumkanyaga kwamaksudi Ditram Nchimbi nje ya uwanja tena bila mpira.
Paschal Wawa hakucheza kabisa mechi ya jana, aliachwa Dar es Salaam
 
JKT wamerithi ubabe wa rafu kutoka kwa Mgambo,Lamine alichofanya ni sahihi kabisa.
Ni sahihi sawa, ila gharama zake ataziona. Atafungiwa mashindano yote yanayoandaliwa na TFF, ikiwamo kombe la shirikisho
 
Wewe simba hebu , nawa mikono na sanitizer ukalale habari za yang a waachie wana yanga hujaona club imemuonya na adhabu

Klabu kumuonya ni jambo moja, ila TFF lazima ichukue hatua pΓ­a ikiwezekana imfungie hata miezi mitatu!
Lile daruga aliloruka lilikuwa hatari sana angeweza kumtegua kiuno mwanaume mwenzake
 
Kamati ya TFF inayotoa adhabu kwa makosa yasiyoonwa na refa ni hovyo inapaswa nayo iadhibiwe ;

1- Wawa vs Nchimbi
2- Chama vs Fei
3- Morrisson vs Prison
4- Mkude vs Biashara

Kutoa adhabu kwa Lamine ni udhaifu red card inatosha maisha yaendelee

Kamati ndo iadhibiwe ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…