Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.
Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza kutoa pongezi!
Yanga wanahisi hiyo mechi Derby ni ya kumkomoa Simba kimataifa, wakihisi mechi na Rivers United itakuwa nyepesi, hakya nani [emoji196][emoji196] anaenda kuzamishwa na kufa kifo cha mende!
Hivyo Yanga mnatakiwa mjiandae vizuri, msiwe na uchovu wala majeruhi mana mechi na [emoji881] hamtashinda na Rivers watachukulia advantage hiyohiyo kwa kuwasoma mnavyocheza!