Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Sawa mwanajangwani, umeoga lakini? au unasubiri rivers wakuogeshe?😄Sioni ratiba inayobana.
Hawa mashabiki wa simba wanaogopa tu kuangushiwa jumba bovu tarehe 16. Maana hata kwenye mechi yao tu ya leo na Ihefu kule Mbarali, imekaa kimtego mtego! Wasipokuwa makini, watadodosha pointi. Baada ya hapo wanatakiwa kukutana na Yanga wa moto! Halafu na wale Waarabu wakatili wa Morocco, ndani ya muda mfupi!!Sioni ratiba inayobana.
tulia wewe unyooshwe mapema tunataka tumalizane na NBC sisi ili tudili vizuri na akina pyramid ikibidi TULETE NA KOMBE LA KIMATAIFATff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.
Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza kutoa pongezi!
Yanga wanahisi hiyo mechi Derby ni ya kumkomoa Simba kimataifa, wakihisi mechi na Rivers United itakuwa nyepesi, hakya nani [emoji196][emoji196] anaenda kuzamishwa na kufa kifo cha mende!
Hivyo Yanga mnatakiwa mjiandae vizuri, msiwe na uchovu wala majeruhi mana mechi na [emoji881] hamtashinda na Rivers watachukulia advantage hiyohiyo kwa kuwasoma mnavyocheza!
Usisahau kurudi hapa mechi ikiisha siku hiyo.Yanga anakwenda kupigwa nje ndani gemu zote
Nanukuu "mjinga mpe cheo"...Simba inapaswa ipuuze mechi ya Yanga na iweke mkazo kwnye mchezo wake wa CAF .
Ipumzishe wachezaji wake muhimu ,,
Jamaa wanaweza wakasababisha majeruhi kwa wachezaji muhimu wa Simba.
,
Kwani hata Simba akishinda au akifungwa hiyo mechi na utopolo haibadilishi chochote.
Mjinga mpe cheo
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.