Maombi ya chuo kikuu kwa wahitimu wa diploma

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii

"Only post request with a payload is allowed"

Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani.

Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
 
Unapaswa kuwa na AVN kutoka NACTE ndiyo inapaswa kutumika km Equivalent Number. Kwa maelezo zaidi wasiliana na chuo unachotuma maombi.
 
Kama chuo wameshapotea matokeo AVN number unapataje?
 
Back
Top Bottom