goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Sina mkuu na nashindwa kuipata kwa mm niliyehitimu diploma kwa mfumo wa nectaUna AVN namba?
Nenda NACTE wakupe AVN numberSina mkuu na nashindwa kuipata kwa mm niliyehitimu diploma kwa mfumo wa necta
Nenda NACTE wakupe AVN
Wanaomba registration namba ambapo nimeingiza index namba ya chuo imegoma namba ya olevel imegoma pia sasa hata sijui niweke namba gani. Nimekwama kwa kweliNenda NACTE wakupe AVN number
Unapaswa kuwa na AVN kutoka NACTE ndiyo inapaswa kutumika km Equivalent Number. Kwa maelezo zaidi wasiliana na chuo unachotuma maombi.Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii
"Only post request with a payload is allowed"
Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani.
Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
Uki apply online AVN unapata?Apply AVN online
Kama chuo wameshapotea matokeo AVN number unapataje?Unapaswa kuwa na AVN kutoka NACTE ndiyo inapaswa kutumika km Equivalent Number. Kwa maelezo zaidi wasiliana na chuo unachotuma maombi.