Maombi ya dhati yanahitajika

Maombi ya dhati yanahitajika

Pancho panchilo

Senior Member
Joined
May 18, 2017
Posts
121
Reaction score
95
Wakuu maombi yenu jamanii, nipositi moja na mama mkwe halafu mfukoni nina sh. 400/= tu! Na nimefanya uchunguzi wa kiintelijensia nimebaini kua hiyu mama mkwe hajabeba hela hata sh. 100, bila shaka ananitegemea mimi.

SASA KONDA NDO ANASOGELEA PANDE HIZI WAKUU!.

TUOMBEANE DUA WAKUU! Kama unamsaada chap chap coment hapa ili nisolve vipi hili janga.
 
Hehe mweleze apo mwanaume mwenzako shida ako akusaidie
 
Muombe Konda namba yake niongee nae, inawezekana akawa ni Kijana wangu....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom