Maombi ya kazi sehemu mbalimbali na connection ya kazi

Gabriel dany

New Member
Joined
Aug 30, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na nina elimu ya chuo kikuu
 
Edit uzi wako kitaaluma zaidi hakuna connection ya ulivyo andika jiboreshe wewe ni msomi mkubwa kutoka yudizim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…