Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

Justine exavery

New Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Habari Jamii forum,naitwa Justine exavery. Elimu yangu ni kidato cha sita.
Nina uzoefu katika biashara ya uuzaji nguo na mambo ya mauzo pia naweza.

Nina uhitaji wa kazi ndugu,kama Kuna mtu anajua mahali naweza pata kazi au kama mtu anahitaji mfanyakazi. Nipo hapa kijana wenu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali tofauti na hiyo ya uzoefu wangu.
Natumaini nitasaidiwa.

Mawasiliano:0784 040 914.
 
Back
Top Bottom