Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Ndugu zangu habari na heshima kwenu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Dar es Salaam, kwa sasa najishughulisha na kazi ya ufreelancer katika kampuni moja malipo ni kwa commission, pia najihusisha na vishughuli vya hapa na pale kujipatia chochote kitu ikiwa pamoja na udalali wa vitu na vyumba, pia ni mtaalamu wa kompyuta hivyo huwa natengenezaga posters, cards, naandaa projects, applications na huduma zingine za stationary, kutokana na kukosa mtaji siwezi kuendesha kwa ukubwa kazi hizo

Wakuu kama kuna mtu anaweza nisaidia kazi yoyote ya kuweza kujipatia kipato anisaidie nipo tayari kufanya kwa moyo na uwezo wangu kadri Mungu alivonijalia.

Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom