Nipo katika maandalizi ya mitihani yangu. Nimeona njia rahisi ya kujizuia kuingia humu ni kuwa katika definite ban. Specifically, ninaomba ban ya siku 14 na ningependa iishe siku ya Jumatano 12/02/2014 18.00hrs. Nitawamisi wanajukwaa, hasa ktk thread za sports na siasa kidogo, lakini ndo hivyo. Asanteni, naomba msinitukane kwa kuweka uzi huu
NB: Narejea maombi kama haya yaliyowahi kutolewa na member mmoja na yakakubaliwa HAPA
Mmmhhhhh hivi Mungu alippmuumba mwanadamu aliwaza nini? Maana wakati wewe unaomba hili lisikufike mwenzio anauliza hivi Kwanini halinifikii tu hili????? Haya all the best