Maombi ya kupewa ban ya siku 14 kuingia JF

Maombi ya kupewa ban ya siku 14 kuingia JF

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Nipo katika maandalizi ya mitihani yangu. Nimeona njia rahisi ya kujizuia kuingia humu ni kuwa katika definite ban. Specifically, ninaomba ban ya siku 14 na ningependa iishe siku ya Jumatano 12/02/2014 18.00hrs. Nitawamisi wanajukwaa, hasa ktk thread za sports na siasa kidogo, lakini ndo hivyo. Asanteni, naomba msinitukane kwa kuweka uzi huu

NB: Narejea maombi kama haya yaliyowahi kutolewa na member mmoja na yakakubaliwa HAPA

cc:

attachment.php
 
Mmmhhhhh hivi Mungu alippmuumba mwanadamu aliwaza nini? Maana wakati wewe unaomba hili lisikufike mwenzio anauliza hivi Kwanini halinifikii tu hili????? Haya all the best
 
Unaomba ban ya ID zako zote au hii moja tu.??
 
Ikiwa kama umeshindwa kujizuia kwa JF, siamini kama unaweza kuzuia tamaa za mwili wako. Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom