maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita2014

Zgerald95

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
235
Reaction score
59
Habari ya mda huu! naomba ni ulize swali wadau wa mtandao huu utaratibu wa kuomba mkopo mwaka huu ukoje? naombeni msaada tafadhari
 
mbona kuna f6 wa 2014 bado wanaendelea na mitihani especially kwa masomo ya sayansi ikoje hii maana kila mtu anasema yake au kwa f6 haituhusu hii?? naomba mwongo ?
 
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
 
thanks mkuu japo nashangaa sana kwanini wamewahi hivyo na f6 wengi hawana taarifa za kutosha na wengine wanapuuzia.
 
mbona kuna f6 wa 2014 bado wanaendelea na mitihani especially kwa masomo ya sayansi ikoje hii maana kila mtu anasema yake au kwa f6 haituhusu hii?? naomba mwongo ?
acha ubishi utakosa mkopo
 
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.

je kwa wale wataominya ili wasome mwaka unaofuata,na wao wanaapply pia mwezi huu?
 
Sasa mbona ah omadogo watakua namuda mdogo wakufanya iyo processes
 
mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.

wengine washamaliza kila kitu.wanasubiri kwenda jeshi tu.
 
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.

Hivi hakuna uhusiano kati ya jinsi mwanafunzi alivyofaulu na maombi ya mkopo?
 
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu continuous wanaotaka kuapply upya ni wanalipia elfu 30 kama hawa wa f6? Naomben msaada wenu coz nina ndugu yang hakupata mkopo mwaka jana.
 
elfu kumi tu.soma maelezo yao
 
Bana ndo hv mi nashangaa bado kuna 4m60wana daut kuomb mkp eti n kw wale hawakuomb mwk jan! jaman 2elimishane wengne hat acces za inf kwao n shda mpaka waskie mtaan ila km m2 wa kuperuz hwez daut kwan inf zk olas.heslb wazwaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…