Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kuna f6 wa 2014 bado wanaendelea na mitihani especially kwa masomo ya sayansi ikoje hii maana kila mtu anasema yake au kwa f6 haituhusu hii?? naomba mwongo ?
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
acha ubishi utakosa mkopombona kuna f6 wa 2014 bado wanaendelea na mitihani especially kwa masomo ya sayansi ikoje hii maana kila mtu anasema yake au kwa f6 haituhusu hii?? naomba mwongo ?
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
inakuwaje wanaomba kabla ya matokeo
Hapana, watasubiri mpaka mwakani ndio wataomba pamoja na form six watakaomaliza 2015.je kwa wale wataominya ili wasome mwaka unaofuata,na wao wanaapply pia mwezi huu?
mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
inakuwaje wanaomba kabla ya matokeo
Hapana, watasubiri mpaka mwakani ndio wataomba pamoja na form six watakaomaliza 2015.
Mimi nilipiga simu bodi kuuliza maana nina wadogo zangu wamemaliza mwaka huu, wakaniambia inatakiwa waombe km wana mpango wa kusoma chuo mwaka huu. Deadline tarehe 30 june na wamesema wao hawana session nyingine y kuapply hii ikishafungwa.
Hivi hakuna uhusiano kati ya jinsi mwanafunzi alivyofaulu na maombi ya mkopo?
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu continuous wanaotaka kuapply upya ni wanalipia elfu 30 kama hawa wa f6? Naomben msaada wenu coz nina ndugu yang hakupata mkopo mwaka jana.