Maombi ya Mwamposa yadaiwa kupunguza sehemu za siri za mtoto

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima.

Inadaiwa baada ya maombi ya Mwamposa sehemu za siri za mtoto huyo zimerudi katika hali yake ya kawaida ya kitoto.

Duh... Dogo atadumaa huyu na kibamia chake
 
Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima.

Inadaiwa baada ya maombi ya Mwamposa sehemu za siri za mtoto huyo zimerudi katika hali yake ya kawaida ya kitoto.

Jamiiiliyojaa Viande. Bladifakeni kabisa. T\Maendeleo yaje kwa design hii na mchanganyo wa MaCCM? labda miaka 200 ijayo.
 
Back
Top Bottom