tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
😂😂😂Pigia yeso makofiii
Yeso ndio nani tena huyu?Pigia yeso makofiii
Ndio huyo yeso mwenyewe simjui tumuulize mwamposaYeso ndio nani tena huyu?
Yesu ndio original huyo yeso hata pepo likisikia sidhani kama litatoka..Ndio huyo yeso mwenyewe simjui tumuulize mwamposa
HahahahahaaaaPigia yeso makofiii
Duh... Dogo atadumaa huyu na kibamia chakeMwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima.
Inadaiwa baada ya maombi ya Mwamposa sehemu za siri za mtoto huyo zimerudi katika hali yake ya kawaida ya kitoto.
Jamiiiliyojaa Viande. Bladifakeni kabisa. T\Maendeleo yaje kwa design hii na mchanganyo wa MaCCM? labda miaka 200 ijayo.Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima.
Inadaiwa baada ya maombi ya Mwamposa sehemu za siri za mtoto huyo zimerudi katika hali yake ya kawaida ya kitoto.