Maombi ya ushauri wa field ya kufanya

Maombi ya ushauri wa field ya kufanya

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi.

1. Software developer
2. Database administator
3. Network engineering
4. Security analyst
5. Programing

Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri.
 
Kwanza jiulize wewe una kipaji kipi kati hivyo, yaani hobby yako ni ipi. Kwasababu kama utasomea kozi isiyo ya hobby yako utateseka sana kutoboa na hautaweza kuwa Nondo.

Kumbuka ukisomea kitu unapaswa kuwa mtekelezaji wa kazi zake kwa vitendo, kwa hiyo kama ulisomea kwa kulazimisha basi maisha yako yatakuja kuwa magumu kwenye hiyo fani.
 
Tupe tofouti ya Software Developer na Programming.

Ushauri:

Vitu vyenye pesa/ highly demanded skills huwa pia ni vigumu kwa kuwa ni wachache wanaweza kuvimudu.
Kwakuwa umeshindwa kutofautisha hapo juu. Mimi siwezi kutoa ushauri.
 
Back
Top Bottom