M mukrim New Member Joined Mar 24, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Mar 25, 2015 #1 Hello jf members, Hivi TCU wanaanza kupokea maombi ya vyuo lini? kwa ngazi ya degree kwa waombaji wote wa F.6 na Equivalent?
Hello jf members, Hivi TCU wanaanza kupokea maombi ya vyuo lini? kwa ngazi ya degree kwa waombaji wote wa F.6 na Equivalent?
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 574 Mar 25, 2015 #2 kwa kawaida huwa wanaanza baada ya f 6 kumaliza mthan wao au baada tu ya matokeo kutoka but HESLB ndo hufungua maombi mwezi wa 4 ili watu waanze kuomba mikopo mapema
kwa kawaida huwa wanaanza baada ya f 6 kumaliza mthan wao au baada tu ya matokeo kutoka but HESLB ndo hufungua maombi mwezi wa 4 ili watu waanze kuomba mikopo mapema