Maombi ya vyuo vikuu Tanzania

Maombi ya vyuo vikuu Tanzania

mukrim

New Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Hello jf members, Hivi TCU wanaanza kupokea maombi ya vyuo lini? kwa ngazi ya degree kwa waombaji wote wa F.6 na Equivalent?
 
kwa kawaida huwa wanaanza baada ya f 6 kumaliza mthan wao au baada tu ya matokeo kutoka but HESLB ndo hufungua maombi mwezi wa 4 ili watu waanze kuomba mikopo mapema
 
Back
Top Bottom