Maombi ya vyuo vya afya kupitia mtandao.

Juma B

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
30
Reaction score
0
Msaada wana jf mimi nilipenda sana kuomba maombi ya vyuo vya afya tangu mwezi mei, sasa kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wa familia hatimae nilikosa hela ya maombi ambayo ni sh.30000 toka siku hiyo nimekuja kupata jana hiyo hela nimeshatuma kwa m-pesa code ninazo.

Tatizo ni kwamba ninapo jisajili online step 1 ninapotaka ku submit wananiletea maneno PAYMENTS CONFIRMATION CODE ALREADY REGISTERED sasa kila nikiingia wanaleta maneno hayo, sasa sijui wameshafunga mtandao? mimi sielewi cha kufanya mpaka sasa na deadline ni julai 13 msaada wakuu.
 

Pole sana Dogo,

Moja: Usikate tamaa. Mbili: Hebu fuatilia matangazo haya hapa chini wakati ukisubiri Wajuzi waje na msaada zaidi. Tatu: Ingesaidia zaidi Wadau kama ungetaja uko wapi:

[h=5]National Council for Technical Education (NACTE)

[/h]July 1 at 10:16pm ·

NOTICE TO PUBLIC
The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform all applicants (Technician Certificate and Ordinary Diploma in Health, Ordinary Diploma in Primary Education and Undergraduate Degree Programs) of the pending and extended deadlines for applications through the Central Admission System.
Undergraduate Degree Programs
The deadline for diploma applicants who graduated before 2013 is 31th July, 2014.

Certificate in Health Programs and Diploma in Health Programs
The deadline for the application for Technician Certificate and Ordinary Diploma in Health Programs through NACTE Online Admission System has been extended to 13th July 2014

Ordinary Diploma in Primary Education
The Council reminds applicants for Ordinary Diploma in Primary Education that the deadline for these applications is 31st July 2014.

NOTE:
The systems will automatically be closed after the mentioned dates. You are advised to complete your application in time.




UnlikeUnlike · · Share · 584022



[h=5]National Council for Technical Education (NACTE)

[/h]July 1 at 10:37pm ·


Jumla ya watu15370 wameomba programu za afya (Cheti na Diploma) hadi sasa. Lakini system inaonyesha kuwa kati yao kuna watu 1500 hawajafanya uchaguzi wa programu.

Tunahimiza waombaji wote kufungua tena NOAS na kujihakikishia kama umefanya uchaguzi maana bila kufanya hivyo NOAS itakupangia chuo cha kwenda na chuo hicho kinaweza kutokuwa chaguo lako.
Tumia nafasi ya muda ulioongezwa hadi 13 Julai kufanya chaguo lako.
NACTE



LikeLike · · Share · 422713



[h=5]National Council for Technical Education (NACTE)

[/h]18 hrs ·

Matokeo ya Awali ya Selection ya Vyuo vya Afya yatatolewa siku ya Jumanne tarehe 8. Matokeo hayo yatatumwa moja kwa moja kwenye profiles zenu na emails/baruapepe zenu.
 
check vizuri code kwa uzoefu mfano zero na o zinafanana sn mfno BO badala B0
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako, Mahina veterani,mimi nipo makambako iringa huku.
 
check vizuri code kwa uzoefu mfano zero na o zinafanana sn mfno BO badala B0

Najaribu kubadilisha mf.0 kuwa O yani hapo ndio yanakuja maneno haya INCORRECT PAYMENTS CONFIQRMATION CODE sijui cha kufanya.
 
Haya yote wamesababisha NACTE kutuletea haya mamifumo yao ambayo sisi wengine hatujui kuyatumia,mwenyezi mungu nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…