Msaada wana jf mimi nilipenda sana kuomba maombi ya vyuo vya afya tangu mwezi mei, sasa kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wa familia hatimae nilikosa hela ya maombi ambayo ni sh.30000 toka siku hiyo nimekuja kupata jana hiyo hela nimeshatuma kwa m-pesa code ninazo.
Tatizo ni kwamba ninapo jisajili online step 1 ninapotaka ku submit wananiletea maneno PAYMENTS CONFIRMATION CODE ALREADY REGISTERED sasa kila nikiingia wanaleta maneno hayo, sasa sijui wameshafunga mtandao? mimi sielewi cha kufanya mpaka sasa na deadline ni julai 13 msaada wakuu.