Maombi yanayojibiwa na mashetani

Sidhani kama njia ya kuhubiri amani na upendo itamfanya mtu awe na upendo na amani , kwa sababu hayo mahubiri na hivyo vitabu vimejaa ego la kila namna .
 
Biashara tu ni ufirauni tosha ,sidhani Biashara kama inawafaa hao wanaojiita walokole[emoji848].
 
Sidhani kama njia ya kuhubiri amani na upendo itamfanya mtu awe na upendo na amani , kwa sababu hayo mahubiri na hivyo vitabu vimejaa ego la kila namna .
100% Nakubaliana na wewe kabisa na hicho ndo kinatukwamisha sana Watu wengi wana Umimi kuliko Upendo..
Ego zimewajaa
 
Sounds like a man who knows the code. The code we live by🙏

Hongera sana endelea kuelimisha maombi ya kuharibu watu wengine ni ya kishetani. Maombi ya kubariki watu wengine ni ya kiMungu eaaasy.

Mi nnawaambiaga watu kuwa cha Mungu na cha shetani kinatambulika kirahisi tu.

Mfano ukimsikia msanii kaimba 'Furahaa ni kulewa na marafiki....' na mwingine anaimba kusisitiza 'Rahaa jipe mwenyewee....'

Wa Mungu na wa shetani wamejipambanua eaaaaaaasy. Haijalishi anajinasibu upande upi. Akili tu mtu wangu.
 
Mkuu nafuatilia ile makala yako😊😊
 
Watu wengi hawatafanikiwa Kwa chochote iwe nguvu kutoka MUNGU au SHETANI ikiwa hawajui wanapambania nini.

Walokole na baadhi ya mashekh wana roho mbaya Sana. Na dhamira zao ni ovu na zimejaa visasi pamoja na CHUKI kwa kuratibu maombi mabaya dhidi ya WATU wengine.
 
Kifo kinaweza kuepukika.
Anhaa tena umenikumbusha kitu.

Maoni yako tafadhali, na maoni ya wengine pia mnaopenda kujisomea.

Link hii hapa, nimeona ni vema kuileta JF huku ndio kuna challenges👇
 
Hiyo link inashida haifunguki.
 
Hii ipo Forum gani mbona naona ikataa Kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…