Maombi yanayojibiwa na mashetani

Ndugu, KWa ruhusa YAKO naomba ni sambaze KWa baadhi ya wapendwa
 
min -me na DR Mambo Jambo tayari sasa karibuni.

Ahsante @admins kwa uharaka na uhakika wa vitendo

 
Kuna haya maombi yanaitwa

Mungu amlaani
Mungu atakulaani
 
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya huwa Mungu haangaiki nayo bali mashetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…