min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Upo sahihi kabisa.hamna shetani duniani ni propaganda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisa.hamna shetani duniani ni propaganda tu
Ndugu, KWa ruhusa YAKO naomba ni sambaze KWa baadhi ya wapendwaSio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani.
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya huwa Mungu haangaiki nayo bali mashetani.
Kazi ya Mungu ni kuokoa, kuponya, kurekebisha na kutoa uzima kisha uzima tele. Kazi ya shetani ni kuua, kutesa, kufirisi, kushusha ma kudhalilisha.
Katika Mapambano yetu ya kiroho hatuombei watu mabaya, tunaombea roho na majini yaliyojificha nyuma yao na kuongoza ubaya ulio ndani yao. Wengi wanatumika bila kujua. Mkomavu kiroho haombei mtu mabaya. Kama amekuchosha sana mwambie Mungu amnyenyekeze. Mungu ananjia maelfu ya kunyenyekeza watu ikiwemo hata kuruhusu wapumzike mavumbini ili amani itawale.
Kabla hujakurupuka na kukurupushwa na imani mwendokasi za kibishoo za kisasa za kukamia watu na kuwatakia mabaya, Mwambie Mungu akufunulie aina ya ya vita unavyopigana ili ujue mahali sahihi pa kuelekeza mashambulizi yako kwa ufanisi.
Luka 9:54 ~56
Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]?
Akawageukia, akawakanya. [Akasema, Hamjui ni roho ya namna gani mliyo nayo.]
Kwa maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za watu, bali kuziokoa. Wakaondoka wakaenda mpaka kijiji kingine.
Ni hayo tu.
Karibu kwa neno lolote. Kama umeelewa andika amina.
Hii ni mali ya jamii na jf. Wabariki wapendwa mkuu na wewe ubarikiwe.Ndugu, KWa ruhusa YAKO naomba ni sambaze KWa baadhi ya wapendwa
Kuna haya maombi yanaitwaSio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani.
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya huwa Mungu haangaiki nayo bali mashetani.
Kazi ya Mungu ni kuokoa, kuponya, kurekebisha na kutoa uzima kisha uzima tele. Kazi ya shetani ni kuua, kutesa, kufirisi, kushusha ma kudhalilisha.
Katika Mapambano yetu ya kiroho hatuombei watu mabaya, tunaombea roho na majini yaliyojificha nyuma yao na kuongoza ubaya ulio ndani yao. Wengi wanatumika bila kujua. Mkomavu kiroho haombei mtu mabaya. Kama amekuchosha sana mwambie Mungu amnyenyekeze. Mungu ananjia maelfu ya kunyenyekeza watu ikiwemo hata kuruhusu wapumzike mavumbini ili amani itawale.
Kabla hujakurupuka na kukurupushwa na imani mwendokasi za kibishoo za kisasa za kukamia watu na kuwatakia mabaya, Mwambie Mungu akufunulie aina ya ya vita unavyopigana ili ujue mahali sahihi pa kuelekeza mashambulizi yako kwa ufanisi.
Luka 9:54 ~56
Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]?
Akawageukia, akawakanya. [Akasema, Hamjui ni roho ya namna gani mliyo nayo.]
Kwa maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za watu, bali kuziokoa. Wakaondoka wakaenda mpaka kijiji kingine.
Ni hayo tu.
Karibu kwa neno lolote. Kama umeelewa andika amina.
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya huwa Mungu haangaiki nayo bali mashetani.Sio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani.

Kweli