yote maisha ndo kujifunza hukoNimecheka sana
Mmh ulijuaje mkuu,yametimiaChechela aka Segedansi aka nondo aka gereza aka inside aka ndete aka lupango ,amebakiza siku mbili tu uraiani tarehe 13 ataanza kula maharage ya jela.
Yamesaidia sana kutoka 15 up to 2 years?!!Maombi yamegonga mwamba