Duuh, hii noma, utamfanya boy ahairishe safari hivi hivi,[emoji22] [emoji22]RIP mkuu tutumie pic yako tuanze kuku enzi bado mapema[emoji41]
Hahhahah...karibu mdogo ake gilesi,.Amina mama gillesi. Mungu ni mwema
Nawe pia kaka Mungu akuongoze ufike salama, ila usisahahu kutuletea mrejesho!!Asante sana brother mungu akubalik
Hongera Kwa kufika Salama mkuu, salimia machalii ya Ar[emoji3]Mm ndio nmeingia Arusha muda huu [emoji1545]
Hajambo kabisaa....anakutakia safari njema tuu mdogo ake,.Asante momy Giles hajambo lakin