Maombi yenu jamani, kesho nasafiri kutoka Dodoma kwenda Iringa

Maombi yenu jamani, kesho nasafiri kutoka Dodoma kwenda Iringa

Hahahaaa hapana bro siyo boom wala nini
maana kipindi cha nyuma ulikuja humu kutuaga tukajua unaenda shule na nauli tukakuchangia tukijua upo six sasa kama hujapata bumu utatafunaje watoto wa chuo ?
Any way ndo unaenda chuo siyo?
 
Back
Top Bottom