Maombi yenu jamani, leo NECTA

Maombi yenu jamani, leo NECTA

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Leo tarehe 4/11/2013 naanza mitihani ya kidato cha nne, leo ntaanza na Geography saa 2:00 asubhi na baadae English saa 8:00 mchana. Maombi yako ni muhimu sana!
 
Wazazi wako wanajua kuwa wewe ni Memba katika Mitandao ya Watu wazima? Kama ni hivi, basi hata wa Kidato cha Pili wamo humu!
 
All the best,lakini muda ambao ulikuwa jamvini ni muda muafaka wa kukazia kazia.Mungu akujaalie.
 
mhhhhhhhh kweli jf inamengi
kumbe humu kuna mpaka member wa form 4? wewe haina haja ya maombi sababu mda wa kusoma wewe unaperuzi jf bila hata kuwa na woga waonyesha ni kiasi gani ulivyo kubuhu mitandaoni umeamka kurupu na kupost jf wewe div 5 ni saizi yako bana
 
Wazazi wako wanajua kuwa wewe ni Memba katika Mitandao ya Watu wazima? Kama ni hivi, basi hata wa Kidato cha Pili wamo humu!

Nusu nianguke kwa mshtuko aisee!
nadhani hata wa Form 2 wanweza kuwemo humu!
 
nw dayz vijana wa kizazi cha mulugo mnatuchekesha sana
 
Kufanya pepa ya form form haimanaanishi ana miaka 18 au 20 labda ni Private candidate je? Atakuwa mtu mzima anajiendeleza baada ya pata potea nyingi:
 
Back
Top Bottom