fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 63 Feb 3, 2017 #1 Husika na Kichwa Hapo juu Nahitaji mniombee kwani.... ......Naelekea ATM na kadi ya kupigia kura!!!!! RIZIKI ANATOA MAULANA [HASHTAG]#aombae[/HASHTAG] hupewa
Husika na Kichwa Hapo juu Nahitaji mniombee kwani.... ......Naelekea ATM na kadi ya kupigia kura!!!!! RIZIKI ANATOA MAULANA [HASHTAG]#aombae[/HASHTAG] hupewa
manic Member Joined Jan 20, 2017 Posts 65 Reaction score 80 Feb 3, 2017 #2 mmmmmmh mirembe imeachia wanafunzi wake wawe kutwa badala ya bweni???
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,321 Reaction score 2,488 Feb 3, 2017 #3 kumbe na nyie hapo mirembe Siku hizi mna free WiFi
fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 63 Feb 3, 2017 Thread starter #4 manic said: mmmmmmh mirembe imeachia wanafunzi wake wawe kutwa badala ya bweni??? Click to expand... cha msingi ni maombi mkuu
manic said: mmmmmmh mirembe imeachia wanafunzi wake wawe kutwa badala ya bweni??? Click to expand... cha msingi ni maombi mkuu
fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 63 Feb 3, 2017 Thread starter #5 white hat said: kumbe na nyie hapo mirembe Siku hizi mna free WiFi Click to expand... halafu wewe si ndio fundi wetu
white hat said: kumbe na nyie hapo mirembe Siku hizi mna free WiFi Click to expand... halafu wewe si ndio fundi wetu
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,321 Reaction score 2,488 Feb 3, 2017 #6 fixit KEM said: halafu wewe si ndio fundi wetu Click to expand... hahahahahaahahahahahahhaahha Mimi nilifunga kwa ajili ya shughuli za ofisi tu naona na nyie wagonjwa mnatumia Siku hizi
fixit KEM said: halafu wewe si ndio fundi wetu Click to expand... hahahahahaahahahahahahhaahha Mimi nilifunga kwa ajili ya shughuli za ofisi tu naona na nyie wagonjwa mnatumia Siku hizi
fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 63 Feb 3, 2017 Thread starter #7 white hat said: hahahahahaahahahahahahhaahha Mimi nilifunga kwa ajili ya shughuli za ofisi tu naona na nyie wagonjwa mnatumia Siku hizi Click to expand... lakini ujue "gari la takataka na lenyewe ni taka" hivyo bhasi na wewe ni miongoni mwetu wana mirembe........teh teh teh
white hat said: hahahahahaahahahahahahhaahha Mimi nilifunga kwa ajili ya shughuli za ofisi tu naona na nyie wagonjwa mnatumia Siku hizi Click to expand... lakini ujue "gari la takataka na lenyewe ni taka" hivyo bhasi na wewe ni miongoni mwetu wana mirembe........teh teh teh
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Feb 3, 2017 #8 fixit KEM said: Husika na Kichwa Hapo juu Nahitaji mniombee kwani.... ......Naelekea ATM na kadi ya kupigia kura!!!!! RIZIKI ANATOA MAULANA [HASHTAG]#aombae[/HASHTAG] hupewa Click to expand... Mmh haya kwakuwa ni ombi
fixit KEM said: Husika na Kichwa Hapo juu Nahitaji mniombee kwani.... ......Naelekea ATM na kadi ya kupigia kura!!!!! RIZIKI ANATOA MAULANA [HASHTAG]#aombae[/HASHTAG] hupewa Click to expand... Mmh haya kwakuwa ni ombi
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,287 Feb 4, 2017 #9 Vip ushapiga kura