OMG! This is 21st Century, WAKE UP!!
Hivi ni nchi gani umewahi kusikia mambo kama hayo?!
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !
Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century
Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !
Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?
Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !
Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
What a sad story! We were better off 20 years ago than now!!!hii picha inanifanya nijione nina bahati sana kukaa kwenye dawati primary school.
jamani viongozi fungeni macho mtoe hela kila mtoto akae kwenye dawati inawezekana
Wakuu naomba kuuliza,
hivi kama ingekuwa ni kipindi cha msiba wa mzee Nyerere kuna mtu angethubutu kwenda uwanjani????achilia mbali raisi wa nchi au kiongozi mwingine wa serikali!!
What do you expect kwa watu ambao bado wanafikiria taratibu kama wako 19th/20th Century? Tuko hapo tulipo for some reasons, na mojawapo ni kufikiri kinyumenyume.OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !
Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century
Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !
Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?
Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
tatizo unadhani mpira kuonyeshwa lazima iwe LIVE, mi nimesema CNN na BBC walikuwepo, nikimaanisha walikua wanarekodi hilo pambano (na sio lazima iwe kwa taarifa ya habari, labda ni kwa kipindi fulani, sasa mi siwezi jua wataonyesha lini na saa ngapi, na pia wanaweza kutupa hizo materials tusizione milele, waandishi wa habari wanajua material kutotumika kwenye TV, radio au gazeti ni kitu cha kawaida)), kama unabisha juu ya uwepo wao i cant help it as mi najua kuwa walikuwepo!
Ile bilioni 7 iliyotumika kwa matumizi mbalimbali kwenye pambano la kirafiki kati ya Taifa Stars na Cote D'Voire zingeweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuwapatia watoto hao madawati na si ajabu wakapata na uji kidogo.hii picha inanifanya nijione nina bahati sana kukaa kwenye dawati primary school.
jamani viongozi fungeni macho mtoe hela kila mtoto akae kwenye dawati inawezekana
Kikwete mzee wa mabembea endeleza burudani kama cloudzzzzz efuem...
waacheni wafu wazike wafu wao.
tulio hai wacha tuendelee kula raha hadi umauti utakapotukumba
Hivi kutengeneza dawati moja ni kiasi gani?
Mwanakijiji,
Inahitajika kama sh.70,000 kwa dawati.Hizo sh.7,000,000,000 kumleta Grogba and co zingetengeneza 10,000 dawatis amabazo zingehudumia watoto 20,000 kama sio 30,000 ambazo ni sawa na shule kati ya 100 na 150.Vilevile maseremala nao wangenufaika kiuchumi.
Mkuu, kuna tofauti ya CNN na BBC kuwepo, na Taifa kuchukua jitihada za kuutangaza uwanja. Sijui kama ni lazima nikueleweshe tofauti kati ya mambo haya mawili. BBC na CNN na hata wengine wote wanaweza kuwepo pale uwanjani na kuonyesha tu mchezo ule kwa jinsi wanavyotaka wao na kwa malengo yao binafsi.
Cha maana zaidi ni utangazaji wa kibiashara wa uwanja. Labda hiyo itasaidia kukuelewesha.
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !
Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century
Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !
Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?
Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
Mkuu kama unataka kuwa bingwa wa kujibu hoja zangu, basi nakushauri uzielewe hoja zangu (maana naona umezishupalia sana). Mimi sijawahi kubisha kuwepo kwa chombo chochote kwenye mchezo wowote, kwa kuwa siwezi kuthibitisha uwepo wao. Hata ukiniambia TV za TZ huwa zinakuwepo kwenye mechi za Primier League ya uingereza, na ukanifanya niamini, sitakuwa na sababu za kukubishia. Ila nilichosema (kulingana na hoja yako hapa) ni hiki hapa chini.Mkuu, hapa umeshahama, we si ulikataa uwepo wa hivyo vyombo? na kama nakumbuka vizuri hoja yako ya awali ilikuwa kuwa hakukuwa na international media kwenye hiyo match?
au unabishana for the sake ya kubishana tu, mtu akikushinda hoja hii, unarukia nyingine. anyway tuhamie kwenye hoja yako mpya basi, maana wengine mna vikombe vya ubishi!
hapo unataka kulazimisha decision makers kutumia njia unayotaka wewe kuutangaza uwanja, kwa nini usikubali kwamba kuna njia nyingi za kutangaza huo uwanja na hii ya mechi na timu kubwa kama IC ni mojawapo?
Uwanja wa Taifa (mpya) hauwezi kutangazwa ndani ya nchi tu. Kuna njia nyingi na nzuri zaidi za kuutangaza kama tunataka kufanya hivyo. Sijawahi kuona matangazo yoyote ya uwanja huo kwenye DSTv, CNN wala channels nyingine za kimataifa.
hivi huoni kuwa waliofikiria waliona kuwa kwa kutumia mechi hii wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, wanatangaza uwanja na nchi huku wakiwapa mazoezi wachezaji wao kwa kucheza na timu kubwa?
Mtu anaedhani kila kitu kinachofanywa na mtu mwingine au serikali ni kibaya, hayuko serious. Na sidhani kuwa tunao watu wa namna hiyo wengi hapa JF. At least, mimi sio mmojawao. Vile vile, sio lazima mtu atimize ndoto zangu ndipo awe amefanya vizuri. Kwakuwa najua pia, hata mimi hukosea (kama mtu mwingine yeyote). Ushauri hauna makosa. Kosa ni kutokutoa ushauri kama unaona kuna njia zinazoweza kuzaa matunda mazuri zaidi (huitwa uchoyo).sio kila kitu kinachofanywa na serikali ni kibaya na sio lazima wafanye unavyoona wewe, ujue hata huko serikalini kuna watu wenye ubongo kama wewe na labda walijadiliana na kuangalia njia zote wakaona hii ndio inafaa, na pia, sio lazima njia yako ndio njia sahihi!
Mag3 umekuwa unfair kwa JK na Nchi nzima.Mbona hujaweka picha yako mwenyewe na watu wengine.
Its actually absurd in the argument you are trying to establish.
Kwamba watoto hao wanasoma chini ya mbuyu/kusomea chini/kukalia mawe wakati rais wao anshangilia mechi!!
Thats cheap
Wengi wetu ni mabingwa wa kulaumu lakini hata michango midogo kwa ajili ya maendeleo ya jamii ni wagumu mno kujitolea.
Watu wanapiga mahesabu ya mbao za madawati lakini hata kujitolea ubao mmoja ni nongwa.
Charity begins at home and mere hypocrisy does not wash!!!