Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

KAKA MWANAKIJIJI

Naelewa kuwa unajua kwa WAISLAMU msiba unamalizika pale tu maiti inapozikwa. MIMI nahisi kuwa wamemshelewesha sana kwenda kumzika kwa ajili ya kuomboleza. Kwa waislamu siku mbili ni nyingi sana kukaa na maiti na hiyo inatosha

Zilizobaki ni formality tu za serikali. kwa familia ni hadi watakapo soma arubaini. kwa hapo mzee sikuuingi mkono.

maziko yameisha na maisha yaendelee kama kawaida. PERIOD:
 
- Maombolezo ya taifa hayajawahi kumfanya Rais akawa off duty kuelewa hili ni common sense tu!

Respect.
[/SIZE]
FMEs! [/QUOTE]

....KAMA MAOMBOLEZO HAYAJAWAHI KUMFANYA RAIS AWE OFF DUTY,MAANA YAKE RAIS ALIKUWA ANAENDELEA NA KAZE.JE HAKUKUWA NA KAZI YA KUFANYA HADI AAMUE KWENDA KWENYE MPIRA? Lack of common sense.
 
- As per who? Rais anayefuata baada ya Mkapa lazima atoke visiwani, Mkapa aliuliza as per who? Hakukuwa na majibu, sasa here we are again! tunazunguka pale pale kila siku!

Respect.

FMEs!

Swali lako linazua maswali mengine mengi kuhusu vitu ambavyo tunavifanya kwa kadri ya mazoea au taratibu/mila zetu hata kama hazikuandikwa.

1. Mfano tunazika ndugu na viongozi wetu as per who or what guidelines?
2. Watu walisimama uwanjani dakika moja as per who? Au wachezaji walifunga vitambaa mikononi as per who?
3. Rais alitangaza maombolezo ya siku 7 kwa Kawawa na Mkapa alitangaza mwezi mzima kwa Nyerere as per who?

Kwa hiyo kuna mambo mengi ambayo tunayafanya kwa kuongozwa na busara. Hata ukubwa wa baraza la mawaziri kwa Tz unategemea busara ya Rais. Akiamua kuwa kipofu ndo hapo unakuta bunge zima linaingia kwenye baraza la mawaziri.
 
mtu akisoma hii thread na baadhi ya maoni ya watu na akijua kuwa humu ndani mnajiita great thinkers atacheka sana kama me navyovunjika mbavu hapa...Ndo maana TZ hatuendelei, vichwa vyetu vimejaa maji, mawazo finyu na akili ndogo sana.
 
Ndugu huwezi kuacha kucheka.

Nchi au hata familia ikikosa dira na hasa kutokuwa na kiongozi imara mambo yanakweda mzobe mzobe kama mbwa mwenye kichaa! Ndo maana wakati wa Mkapa, msiba wa Mwalimu ulisimamiwa vizuri sana na hata ule wa Sokoine ulipewa kipaumbele chake. Kwa hili la Kawawa watu walioona hiyo iliyotangulia hawataacha kukuna kichwa kujiuliza kama hii nchi bado ipo kweli!

Nchi haina culture & principles zinazoeleweka, viongozi hawana misingi imara ya kimaadili na wananchi wote wamepoteza mwelekeo. Ndiyo maana suala ambalo linaonekana kuwa wazi linazua mjada kama huu. Tunahitaji mkombozi kutoka hapa tulipofika. It is no longer at ease!
 
Jamani, Rais wetu ni mpenzi/shabiki wa mpira, dansa na starehe kwa ujumla. Kwa nini asiende kujiliwaza kwa kumuona Drogba?! But, when you are in that "oval office" to earn the respect of your subjects you have to learn to sacrifice your fantasies.
 
mtu akisoma hii thread na baadhi ya maoni ya watu na akijua kuwa humu ndani mnajiita great thinkers atacheka sana kama me navyovunjika mbavu hapa...Ndo maana TZ hatuendelei, vichwa vyetu vimejaa maji, mawazo finyu na akili ndogo sana.

Nakubaliana na wewe kuwa atacheka sana sana hasa ukifikiria kuwa tulikuwa tumetangaziwa maombolezo siku 7. Hakuna aliyeomba wala kulazimisha ziwe 7. Nina wasiwasi na Washauri wa Rais kuwa huwa hawaangalii what next. Ilitosha kabisa kufahamu kuwa kuna mechi na Maombolezo yangelianza siku amefariki na yaishe siku moja kabla ya mechi.

Maombolezo pale uwanja wa TAIFA yalifana saana.
kikwetestarsivry.jpg
 
- Maombolezo ya taifa hayajawahi kumfanya Rais akawa off duty kuelewa hili ni common sense tu!

Respect.
[/SIZE]
FMEs!

....KAMA MAOMBOLEZO HAYAJAWAHI KUMFANYA RAIS AWE OFF DUTY,MAANA YAKE RAIS ALIKUWA ANAENDELEA NA KAZE.JE HAKUKUWA NA KAZI YA KUFANYA HADI AAMUE KWENDA KWENYE MPIRA? Lack of common sense.[/QUOTE]

- Kwenda mpirani ni part ya kazi anazopangiwa Rais na hawezi kukataa.

Respect.

FMEs!
 
Swali lako linazua maswali mengine mengi kuhusu vitu ambavyo tunavifanya kwa kadri ya mazoea au taratibu/mila zetu hata kama hazikuandikwa.

1. Mfano tunazika ndugu na viongozi wetu as per who or what guidelines?
2. Watu walisimama uwanjani dakika moja as per who? Au wachezaji walifunga vitambaa mikononi as per who?
3. Rais alitangaza maombolezo ya siku 7 kwa Kawawa na Mkapa alitangaza mwezi mzima kwa Nyerere as per who?

Kwa hiyo kuna mambo mengi ambayo tunayafanya kwa kuongozwa na busara. Hata ukubwa wa baraza la mawaziri kwa Tz unategemea busara ya Rais. Akiamua kuwa kipofu ndo hapo unakuta bunge zima linaingia kwenye baraza la mawaziri.

- Nilifikiri a Great Thinker atajibu swali kwanza, badala yake na wewe unaleta maswali juu ya maswali, maana yake ni moja tu hakuna hoja! kumbe tunalilia utamaduni na busara badala ya sheria!

Respect.

FMEs!
 
is it star or Channel 10?
Wacheni kupiga kelele kwani ndani ya JF kuna wataalam kibao na kama tunataka ianzwishwe public tv ambayo iko independent tunaweza tukaifanya kuwa public company to kafloat shares na benki zipo. Sipendi tabia ya kulalama aidha tuchukue hatua au tunyamaze vinginevyo tutabaki kuwa professional complainers ltd
 
....KAMA MAOMBOLEZO HAYAJAWAHI KUMFANYA RAIS AWE OFF DUTY,MAANA YAKE RAIS ALIKUWA ANAENDELEA NA KAZE.JE HAKUKUWA NA KAZI YA KUFANYA HADI AAMUE KWENDA KWENYE MPIRA? Lack of common sense.

- Kwenda mpirani ni part ya kazi anazopangiwa Rais na hawezi kukataa.

Respect.

FMEs![/QUOTE]

Mkuu, comment yako imefanya nitabasamu kwa nguvu maana jana tulikuwa tukibishana na mtu kuhusu topic hii naye akasema yale yote unayoyasema wewe humu! Conclusion ni kwamba mashabiki wa mpira ambao mpira uko kwenye damu si rahisi kuona kasoro iliyopo!

Ikiwa Rais atakubali kila kazi anayopangiwa then we are in trouble! Wakati mwingine wasaidizi humpangia jambo assuming kwamba atakubali lakini yeye anayo haki ya kuangalia kazi yenyewe na anaweza kuamua vinginevyo.

Tukubaliane tu kwamba Rais alikwenda si kwa sababu anaipenda kazi ya kuangalia mpira ila kwa sababu ni mpenzi wa michezo mwenye nia ya kutaka kuendeleza michezo nchini mwetu na ameishadhihirisha hivyo kwa kufanya mambo kadha wa kadhaa ku-boost mpira uliokuwa umedorora, na michezo mingine pia.
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wanachukulia michezo kama njia ya kujistarehesha kumbe michezo inadhima nyingi sana.

michezo inaweza tumika kama nia moja ya kufarijiana, mfano ni pale MC VIVIAN FOE, alipofariki kuna mechi ilichezwa ya mpira ili kumuenzi, sasa sijui na hilo mtasemaje.

mpira ni sehem ya kuwa pamoja na kudumisha udugu.....ndo maana hata MC vivian foe walimkumbuka kwa kumuwekea match maalum..me ningependa mtoa hoja hata angesema labda kwanini hakukua na flana maalum za Kawawa siku ya mechi, kidogo ningeona sahihi.

Tuacheni majungu JK hakukosea kwenda uwanjani, mpira au mchezo wowote haimaanishi ukiuangalia ni kustarehe pekee hata kuleta um,oja na udugu....
 
- Kwenda mpirani ni part ya kazi anazopangiwa Rais na hawezi kukataa.

Respect.

FMEs!

Mkuu, comment yako imefanya nitabasamu kwa nguvu maana jana tulikuwa tukibishana na mtu kuhusu topic hii naye akasema yale yote unayoyasema wewe humu! Conclusion ni kwamba mashabiki wa mpira ambao mpira uko kwenye damu si rahisi kuona kasoro iliyopo!

- Acha hizi name calling, wewe simamia hoja yako tu ambayo so far sijaiona!

Ikiwa Rais atakubali kila kazi anayopangiwa then we are in trouble! Wakati mwingine wasaidizi humpangia jambo assuming kwamba atakubali lakini yeye anayo haki ya kuangalia kazi yenyewe na anaweza kuamua vinginevyo.

- Now this is a joke, eti lini na wapi uliwahi kusikia Rais akijiamulia tu kufanya analotaka as far as kazi zake za kila siku na where to go na not to go? Na besides pole pole unaanza kutupeleka nje ya hii mada vipi huna hoja mkuu?

Tukubaliane tu kwamba Rais alikwenda si kwa sababu anaipenda kazi ya kuangalia mpira ila kwa sababu ni mpenzi wa michezo mwenye nia ya kutaka kuendeleza michezo nchini mwetu na ameishadhihirisha hivyo kwa kufanya mambo kadha wa kadhaa ku-boost mpira uliokuwa umedorora, na michezo mingine pia.

- Great Thinkers wanaweka hoja, ni hoja tu ndio zinaamua na kuweka muongozo, lakini sio kukubaliana bila hoja, ni kwamba kwenda kwa Rais mpirani majuzi hakukuvunja sheria yoyote ya jamhuri yetu! wala ya maombolezo ya taifa.

Respect.

FMEs!
 
Mkuu FMES,

Sometimes your arrogance startles! Hakuna mahali niliposoma uliposolewa ama hoja yako kupingwa na kukubali! There are people who know better/more than you can imagine. Anyway peace! Pamoja na ubishi wako naiheshimu michango yako!
 
- Ninasimamia hoja yangu ya msingi kwa hoja na sio anything else, sasa kama that is an arrogance so be it, ninasema hivi Rais kwenda mpira wa timu ya taifa wakati wa maombolezo ya taifa hakuvunja sheria, kama unaijua sheria aliyoivunja iweke hapa,

- Hizo ngonjera zako ni za kawaida kwangu hazinisumbui ila zinanipa nguvu zaidi kusimamia hoja na kutegemea kujibiwa hoja na sio viroja, kujua ni one thing tatizo ni kuwa-convince wengine hapa yaani Great Thinkers kwa hoja kwamba unajua, badala ya kutumia nguvu na michezo ya kitoto kulazimisha hoja! Huwa sikurupuki mkuu!

Wasalimie!

FMEs!
 
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
sasa mwanakijiji kuna kipindi unanifanya nishindwe kukuelewa!........too much complaints bwana
 
Siku moja Mmasai alifika kituo cha mabasi pale Arusha jioni huku akiwa na Mkewe.

Akawauliza watu, "Yero, hivi mtu kama nakula mali yake mwenyewe, ambayo nanunua kwa hela nyingi tu, kuna ubaya wowote?" Watu wakamjibu hapana. Jamaa akauliza mara tatu na jibu likawa hakuna ubaya.

Ghafla akaanza KUJILIA vitu vyake. Watu kuona Maasai anaanza kula uroda wake alionunua kwa mahali nyingi tu, wakaanza kumwijia juu. Yeye akawauliza:
"Khee, mimi nauliza hapa mapema, na nyinyi nyote najibu mimi hakuna ubaya."

FMes, si kuwa lazima ule kila unachopewa mezani. Kuna vingine hakuna katiba inakataza wala mwiko wowote. Ila kimila na desturi havikubaliki. Ilitosha Mmasaai aende kichakani, watu wasingelimkomalia. Ilitosha Rais apange safari wakati Chelse inacheza na angelienda kuwaangalia LIVE. Ilitosha kununua TV 100 Inches na kuwaalika washikaji wake nyumbani. Wangelifaidi vizuri tu na hakuna maneno.

Anyway, kumlaumu au kutokumlaumu Rais inategemea unaangalia ukiwa kwenye point of reference ipi.

Ni sawa na kuvaa koti la SUTI na ukachomekea.
 
- Ninasimamia hoja yangu ya msingi kwa hoja na sio anything else, sasa kama that is an arrogance so be it, ninasema hivi Rais kwenda mpira wa timu ya taifa wakati wa maombolezo ya taifa hakuvunja sheria, kama unaijua sheria aliyoivunja iweke hapa,

- Hizo ngonjera zako ni za kawaida kwangu hazinisumbui ila zinanipa nguvu zaidi kusimamia hoja na kutegemea kujibiwa hoja na sio viroja, kujua ni one thing tatizo ni kuwa-convince wengine hapa yaani Great Thinkers kwa hoja kwamba unajua, badala ya kutumia nguvu na michezo ya kitoto kulazimisha hoja! Huwa sikurupuki mkuu!

Wasalimie!

FMEs!

FMEs,

Hakuna anayebisha kwamba hakuna sheria inayomlazimisha Rais kwenda ama kutokwenda mpirani. Nilichofanya nikutoa mawazo yangu kuhusu suala la Rais kukubali kwenda mpirani na suala la kupangiwa Ratiba, kuifuata jinsi ilivyo na kwamba hawezi kuikataa ama kuibadilisha. Hiyo ndiyo hoja yako au labda ni sub-hoja ambayo mimi nimeipinga.

You are lucky to be a 'great thinker' but at the end of it all this is just a 'discussion forum' nothing spectacular.

Peace!
 
bendera ziliendelea kuwa nusu mlingoti,tukiwa uwanjani tulitumia dakika moja kumkumbuka mzee wetu,wachezaji walivaa riboni nyeusi kwenye kwa minajili hiyo hiyo

sasa ninyi mnataka rais ALIE?
LET'S BE PRACTICAL GUYS!smtmz tunaacha siasa tuongee vitu halisi jamani
 
Siku moja Mmasai alifika kituo cha mabasi pale Arusha jioni huku akiwa na Mkewe.

Akawauliza watu, "Yero, hivi mtu kama nakula mali yake mwenyewe, ambayo nanunua kwa hela nyingi tu, kuna ubaya wowote?" Watu wakamjibu hapana. Jamaa akauliza mara tatu na jibu likawa hakuna ubaya.

Ghafla akaanza KUJILIA vitu vyake. Watu kuona Maasai anaanza kula uroda wake alionunua kwa mahali nyingi tu, wakaanza kumwijia juu. Yeye akawauliza:
"Khee, mimi nauliza hapa mapema, na nyinyi nyote najibu mimi hakuna ubaya."

FMes, si kuwa lazima ule kila unachopewa mezani. Kuna vingine hakuna katiba inakataza wala mwiko wowote. Ila kimila na desturi havikubaliki. Ilitosha Mmasaai aende kichakani, watu wasingelimkomalia. Ilitosha Rais apange safari wakati Chelse inacheza na angelienda kuwaangalia LIVE. Ilitosha kununua TV 100 Inches na kuwaalika washikaji wake nyumbani. Wangelifaidi vizuri tu na hakuna maneno.

Anyway, kumlaumu au kutokumlaumu Rais inategemea unaangalia ukiwa kwenye point of reference ipi.

Ni sawa na kuvaa koti la SUTI na ukachomekea.

FMES

- Labda kama hicho kifungu kingepatikana kikawekwa hapa, otherwise ni ishu ya kila mtu kuangalia katika angle yake, lakini sio kuangalia in a uniformity angle, maana hili taifa wengine hawana hata dini, na wengine hupiga muziki mzito sana siku ya msiba, wakuu tuwe considerate sometimes tupunguze ubinafsi!

Respect.

FMEs!

- Toka mwanzo wa mjadala this is exactly nilichosema, inategemea unaingalia hii ishu kutoka angle gani lakini huwezi kulazimisha uniformity ahsante mkuu Sikonge kwa kunielewa.

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom