Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau kweli hayati baba wa taifa kaanza kupuuzwa kabisa.Haingii akilini hayati baba wa taifa kazikwa butiama kaburi lipo butiama lakini maombolezo yapo chato na maua yanawekwa kwenye kaburi la magufuli
Kama hoja ni kuzima mwenge kwanini wahusika wasingepanga tarehe tofauti ya kuzima mwenge na maombolezo ya baba wa taifa? Ili matukio yote yafanyike kwa heshima inayostahili kwani kulikuwa na ugumu gani mwenge kuzimwa tarehe 12/10 na maombolezo yakafanyika tarehe 14/10?
Tukumbuke hayati baba wa taifa ni zaidi ya huo mwenge ukweli waliopanga hii ratiba wametukosea watanzania wanatakiwa watuombe radhi