eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Kilichofanyika leo ni sawa na Pasaka kusherehekewa siku ya Iddi el Haji. Kila adhimisho Lina siku yake. Siku ya Nyerere ni leo, Magufuli day ni March 17. Kupeleka mashada kwenye kaburi la Magufuli na kutopeleka kwa Mwalimu mwenye siku yake ni sawa na kuadhimisha Pasaka siku ya Idi, hakuna uhusiano kabisa, washauri wa Rais Samia wamemdhalilisha Mwalimu na mjane mama Maria. Huu upuuzi usirudiwe tena wa kuadhimisha Pasaka siku ya Idi.Jinyonge kenge wewe