Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Jinyonge kenge weweWadau kweli HAYATI Baba wa Taifa kaanza Kupuuzwa kabisa.Haingii Akilini Hayati BABA wa TAIFA Kazikwa BUTIAMA KABURI lipo BUTIAMA lakini MAOMBOLEZO yapo CHATO na MAUA yanawekwa kwenye KABURI la MAGUFULI
Kama Hoja ni KUZIMA MWENGE kwanini Wahusika Wasingepanga TAREHE tofauti ya KUZIMA MWENGE na MAOMBOLEZO ya BABA wa TAIFA? ili Matukio yote Yafanyike kwa HESHIMA Inayostahili kwani Kulikuwa na UGUMU gani MWENGE Kuzimwa Tarehe 12/10 na MAOMBOLEZO yakafanyika Tarehe 14/10? Tukumbuke Hayati BABA wa TAIFA ni Zaidi ya huo MWENGE Ukweli Waliopanga hii RATIBA WAMETUKOSEA WATANZANIA Wanatakiwa WATUOMBE RADHI
Knowledge brings wisdom. Discuss... ,acha hii lugha. Haina busara.Bibi Hangaya dishi limeyumba. Umri wa kustaafu ni miaka 60. Bibi Hangaya ana 63 na hapo alifoji miaka.
Mzee mwenzie Mfugale alifia ofisini kisa uroho wa vyeo.
[emoji38][emoji38][emoji38]Bibi Hangaya dishi limeyumba. Umri wa kustaafu ni miaka 60. Bibi Hangaya ana 63 na hapo alifoji miaka.
Mzee mwenzie Mfugale alifia ofisini kisa uroho wa vyeo.
Vipi kuhusu ukweli wake ?Knowledge brings wisdom. Discuss... ,acha hii lugha. Haina busara.
Sioni hoja yoyote. Labda kama ungehoji kwa nini uzimwe CHATO na sio makao makuu ya mkoa yaani GEITAWadau kweli HAYATI Baba wa Taifa kaanza Kupuuzwa kabisa.Haingii Akilini Hayati BABA wa TAIFA Kazikwa BUTIAMA KABURI lipo BUTIAMA lakini MAOMBOLEZO yapo CHATO na MAUA yanawekwa kwenye KABURI la MAGUFULI
Kama Hoja ni KUZIMA MWENGE kwanini Wahusika Wasingepanga TAREHE tofauti ya KUZIMA MWENGE na MAOMBOLEZO ya BABA wa TAIFA? ili Matukio yote Yafanyike kwa HESHIMA Inayostahili kwani Kulikuwa na UGUMU gani MWENGE Kuzimwa Tarehe 12/10 na MAOMBOLEZO yakafanyika Tarehe 14/10? Tukumbuke Hayati BABA wa TAIFA ni Zaidi ya huo MWENGE Ukweli Waliopanga hii RATIBA WAMETUKOSEA WATANZANIA Wanatakiwa WATUOMBE RADHI
Wewe umeongezea hoja kwenye hoja!!Sioni hoja yoyote. Labda kama ungehoji kwa nini uzimwe CHATO na sio makao makuu ya mkoa yaani GEITA
Hakuna ukweli.Vipi kuhusu ukweli wake ?
This is the place where we dare to talk openly, Tusipangiane cha kuandika bro! Wewe unamuona bibi yako yupo sawa? Kumbukumbu ya Nyerere anaenda Chato kwenye kaburi la Magu, anajikomba kwa wasukuma wakati hawataki hata kumsikia.Knowledge brings wisdom. Discuss... ,acha hii lugha. Haina busara.
Tulia huna hoja.Wadau kweli HAYATI Baba wa Taifa kaanza Kupuuzwa kabisa.Haingii Akilini Hayati BABA wa TAIFA Kazikwa BUTIAMA KABURI lipo BUTIAMA lakini MAOMBOLEZO yapo CHATO na MAUA yanawekwa kwenye KABURI la MAGUFULI
Kama Hoja ni KUZIMA MWENGE kwanini Wahusika Wasingepanga TAREHE tofauti ya KUZIMA MWENGE na MAOMBOLEZO ya BABA wa TAIFA? ili Matukio yote Yafanyike kwa HESHIMA Inayostahili kwani Kulikuwa na UGUMU gani MWENGE Kuzimwa Tarehe 12/10 na MAOMBOLEZO yakafanyika Tarehe 14/10? Tukumbuke Hayati BABA wa TAIFA ni Zaidi ya huo MWENGE Ukweli Waliopanga hii RATIBA WAMETUKOSEA WATANZANIA Wanatakiwa WATUOMBE RADHI
We lofa sana, ina maana wewe hatakuja kuwa na umri mkubwa utabakia hivyo ulivyo? M.b.w.a ww!!Vipi kuhusu ukweli wake ?
Rais ni mtumishi wa watu. Kuwa mnyenyekevu kwa unaowaongoza si udhaifu ni uimara. Ukiwa Amiri Jeshi Mkuu na unaongea na watu kwa unyenyekevu wewe ni kiongozi imara unaejiamini.This is the place where we dare to talk openly, Tusipangiane cha kuandika bro! Wewe unamuona bibi yako yupo sawa? Kumbukumbu ya Nyerere anaenda Chato kwenye kaburi la Magu, anajikomba kwa wasukuma wakati hawataki
Maombolezo ya nani?!!! Afadhali sikuangalia upuuzi huu.Wadau kweli HAYATI Baba wa Taifa kaanza Kupuuzwa kabisa.Haingii Akilini Hayati BABA wa TAIFA Kazikwa BUTIAMA KABURI lipo BUTIAMA lakini MAOMBOLEZO yapo CHATO na MAUA yanawekwa kwenye KABURI la MAGUFULI