Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nitakuwa nawaletea maonesho haya makubwa sana Africa Mashariki na Kati.
Ufunguzi ni tarehe 01/07/2017. Yatafunguliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. John Pombe Magufuli. Ni zaidi ya nchi 33 zimethibitisha kuwepo hapo.
Kwa hiyo wapenzi wa Africa mashariki ni fursa kubwa kutangaza biashara zetu.
Tanzania moja, Africa mashariki moja, Na Africa ni moja.
Tanzania inapaa sana.