Maonesho ya T.C.U

Maonesho ya T.C.U

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
32
Wadau híí exhibition inaanza lini? na itachukua muda gani? Pia naomba nijue eneo gan Inafanyika?
 
Inafanyika kuanzia tarehe 18 hadi 20 mwezi huu April diamond jubilee upanga DSM
 
ahsante sana!huku c ninaweza kupata vitabu vyao vya mwongozo wa vyuo
 
Back
Top Bottom