Salama wana jamvi...Kwa walio Dar zaidi watajkua wamesikia juu ya maonesho ya biashara ya watu wa China. Binafsi nimepata muda nikapita kuangalia angalia, kweli kuna vitu vingi sana vizuri kwa kuona na opportunity za ki biashara pia. Kwa mwenye kuweza kupita si vibaya kupitia unaweza okota fursayyote hapo........