Maonesho Ya Wachina Diamond Jubilee

Maonesho Ya Wachina Diamond Jubilee

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Salama wana jamvi...Kwa walio Dar zaidi watajkua wamesikia juu ya maonesho ya biashara ya watu wa China. Binafsi nimepata muda nikapita kuangalia angalia, kweli kuna vitu vingi sana vizuri kwa kuona na opportunity za ki biashara pia. Kwa mwenye kuweza kupita si vibaya kupitia unaweza okota fursayyote hapo........
 
Aksante kwa Taarifa,
 
Nilitamani niyawai lakini ndo hivyo nipo nje ya dar
 
Back
Top Bottom