Maongezi kati ya Mwandishi wa habari na Baba Askofu Mwamakula

Bandekule aka baki naona unajipigia promo humu kila siku na uzi wa askofu .hivi unadhani unamdanganya nani kuwa wewe sio askofu bandekule mwanamakula .ujinga ni mzigo
ID yake haihusiki labda kama unashida binafsi kuhusiana na hilo cha muhimu content imekuingia!!!???

Tufanye yeye Bak ndio huyohuyo Mwanamakula sasa sijaona mzigo wa ujinga upo wapi hapo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Awali sikutambua kama MITANO TENA itatunyooshea watu kiasi hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana mchawi kabaki peke yake yaani kabaki yeye na tunguli na vibuyu vyake hana wa kumroga

Sasa kabaki anajiuliza uchawi ulionao unafaida gani kwake maana wa kumroga hakuna na mambo ndio vuluvulu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
MWANDISHI.....hewa!

Mleta topic ......Mwamakula.

Msanifu ....Bandekile

Platform ......jamiiforums

Picha inaendelea vema ukaanza kumeza dawa za maumivu mapema ili zitangulie mwilini.

Labda zitakusaidia siku hiyo.
Kama ulivyosema msanifu na sanaa yake imekuingia kwelikweli ndio mana umecomment mnalo hilooooo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
Hebu geuza hiyo story kama vile umemuhoji Stone Tangawizi tuone majibu yake. Au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

MITANO TENA MPAKA INAISHA NA MIMI BANDAMA LANGU LITAKUA LIMECHANIKA KWA VICHEKO VYA FURAHA
 
Reactions: BAK
Bandekule aka baki naona unajipigia promo humu kila siku na uzi wa askofu .hivi unadhani unamdanganya nani kuwa wewe sio askofu bandekule mwanamakula .ujinga ni mzigo
Hebu waulize wanao Kama unao,
Kati yako na Bendekule nani maalufu nani nani mjinga?
 
Kwa hiyo unataka huyu Askofu aliepo duniani akawahubirie malaika walioko mbinguni?

Huo mfano wa Mtume Paulo uliotoa kwamba alisema sio yeye tena ni Mungu alimaanisha anamuwakilisha Mungu hapa duniani kwa kuihubiri injili, na injili ilikuja kwa wenye dhambi ili waokoke, sasa wewe unavyosema Mwamakula aache kukemea maovu unaonesha ulivyo wakala wa shetani.

Huyo Askofu kuwa balozi wa Mungu maana yake anamuwakilisha Mungu hapa duniani, na moja kati ya kazi zake ni kuhakikisha analihubiri neno la Mungu ambalo ni pamoja na kukemea uovu kama ule uliofanywa na kina Mahera kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
 
Huyo mwandishi wa habari hana akili kabisa.cheti chake kichunguzwe

Halafu huyo anayejiita askofu hajui kazi yake.Katiba za makanisa zinatakiwa kuhakikiwa vizuri.askofu huyu ajifunze kufuata katiba ya kanisa lake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tulieni dawa bado inaingia bado MITANO TENA Tulia
 
Reactions: BAK
Mpe mpe dawa aelewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yesu alialgiza wakemee mapepo sio binadamu binadamu anahubiriwa tu kutubu na kuiamini Injili sio kukemewa
 
Yesu alialgiza wakemee mapepo sio binadamu binadamu anahubiriwa tu kutubu na kuiamini Injili sio kukemewa
Mkristo yeyote anatakiwa kuwa na uwezo wa kukemea pepo, na wala kukemea pepo sio sifa ya kumpeleka mtu mbinguni, ndio maana wale wanafunzi wa Yesu walivyomwambia Yesu mapepo yanawatii kwa jina lake, Yesu aliwajibu msifurahi kwa sababu mapepo yanawatii, bali furahini kwasababu majina yenu yameandikwa mbinguni.

Pepo liko ndani ya binadamu, hivyo wakati unakemea pepo lazima binadamu awepo, au kama wewe unaishi na mapepo hapo kwako tupigie picha pepo mmoja tumuone alivyo.
 
Reactions: BAK
Huyo mwandishi wa habari hana akili kabisa.cheti chake kichunguzwe

Halafu huyo anayejiita askofu hajui kazi yake.Katiba za makanisa zinatakiwa kuhakikiwa vizuri.askofu huyu ajifunze kufuata katiba ya kanisa lake.
Katiba ya kanisa gani inatetea wizi wa kura ?
 

Ni kweli ni mpagani hilo halina ubishi, lakini kwenye kudai katiba mpya yuko sahihi kwa 100%
 

Wakati waafrika wote wanamsifia Askofu Desmond Tutu kupambana na makaburu ulikuwa hujazaliwa uteme huu ukhanithi?
 
Hapa kama mwandishi kanjanja,au aliyetumwa kutoka mtaa,au mtetezi wa mtaa wa kijani anatoka mbio nyingi,240 km /hr kwa mtazamo na majibu ya askofu,ila kama sii mnafiki mbobezi,ila kwa mnafiki atakomaa akiamini mapambio yatasikika na yatampatia mlo wa siku.
 
Askofu Mwamakula hakika ni mmoja wa viongozi wa kiroho anaye tosha nafasi aliyo nayo.
 
Reactions: BAK
Hahahahahahaha Muongeze na BAK hapo tuwe watatu
Nilijua nimebaki pekee yangu mwenye akili kumbe tuko wawili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…