aiseeInasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond baada ya DNA Kupimwa kisirisiri na diamond ndani ya south afrika.
ila zari amekanusha kuwa hizi ni drama tu, Yeye na diamond platinumz wanapendana na wapo pamoja, alipoulizwa kuhusu kutomsindikiza Diamond Platinumz Uganda kwenye show ya Charity ametoa sababu ya kuwa yupo busy na kazi zingine zinazoendelea kwenye biashara zake za South Africa.
aisee
dunian hakuna siri tutajua tu mda ukifikaInasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond baada ya DNA Kupimwa kisirisiri na diamond ndani ya south afrika.
ila zari amekanusha kuwa hizi ni drama tu, Yeye na diamond platinumz wanapendana na wapo pamoja, alipoulizwa kuhusu kutomsindikiza Diamond Platinumz Uganda kwenye show ya Charity ametoa sababu ya kuwa yupo busy na kazi zingine zinazoendelea kwenye biashara zake za South Africa.
nilisikiliza asubuhi youtubeumesikiliza au umewahi nafasi
Inasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond baada ya DNA Kupimwa kisirisiri na diamond ndani ya south afrika.
ila zari amekanusha kuwa hizi ni drama tu, Yeye na diamond platinumz wanapendana na wapo pamoja, alipoulizwa kuhusu kutomsindikiza Diamond Platinumz Uganda kwenye show ya Charity ametoa sababu ya kuwa yupo busy na kazi zingine zinazoendelea kwenye biashara zake za South Africa.
Mkuu joshua nakutakia kila la heri ufanikisheNajazia hela nimpate Wema
Inshallah. Niliambiwa nikipeleka kishika uchumba 100,000/= nitafikiriwaMkuu joshua nakutakia kila la heri ufanikishe
Achana na Wema! Hilo swali nimeshajiuliza sana lakini sijapata jibu!! Miaka miwili iliyopita wakati huo Wema yuko hot kweli kweli niliwahi kuuliza hivi Wema movie yake ya mwisho inaitwaje na alitoa lini! Sikupata jibu! Hata wanaomshabiki wasingeweza kuwa na jibu!Ivi wema ana nn??,