ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Inasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond baada ya DNA Kupimwa kisirisiri na diamond ndani ya south afrika.
ila zari amekanusha kuwa hizi ni drama tu, Yeye na diamond platinumz wanapendana na wapo pamoja, alipoulizwa kuhusu kutomsindikiza Diamond Platinumz Uganda kwenye show ya Charity ametoa sababu ya kuwa yupo busy na kazi zingine zinazoendelea kwenye biashara zake za South Africa.