Maongezi ya Shilawadu na Zari kuhusu kuachana na Diamond Platinumz

Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.
 
Nilisha post Humuu!!! Mahusiano ya Mastaa ukishabikia sana wanaweza kukuumbua
Kabisa. Hivi sasa hivi team Dai hawana direction wanazubaa zubaa tu hawaelewi waende mwelekeo upi hiyo yote ni kwa sababu wanashabikia muziki wake na mapenzi yake pia wanayashabikia ikitokea sintofahamu kama hii ndo full kizunguzungu
 
Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.
Hahaha umeniwahi
 
End of the road huanza na excuses kama hivyo
 
Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.

ZARI NA DIAMOND HAWAJAWAHI SEMA KUWA NI PROJECT HAJAWAHII
 
Kaaah!mbona kawaida tu sasa ulitaka aseme wameachana?

Mwl sio kawaida kabisa yani ukimsikiliza mrembo Zari unasikia kitu kinaitwa huyu ndio mwanamke sahihi,hivi ndivyo mwanamke anapaswa kuongea juu ya mume au mtu wake amabye kuna vitu vimesha waunganisha hata kama hawako katika hali nzuri lakini ameweka ubinafsi pembeni.
Ukimsikiliza Zari unapata picha ya aina ya wanawake watu ambao wanatakiwa kuwa nao....Sauti ya Zari inaonesha mtu mwenye jukumu la kufanya kwa mume au mtu wake na ambaye hayuko tayari kuharibu au kuona mtu wake ana anguko ati kwa sababu wanapitia kwenye mikwaruzano...
Wanawake wetu wana jambo la kujifunza kwenye maongezi ya Zari....kwakweli Zari si mbinafsi kabisa anaju kabisa kwenye maisha kuna wakati unatoa na kuna wakati wa kupokea......
Kwakweli Zari ana akili sana ndio maana nasema Diamond anayo bahati..............
 
Yaweza kua wameingia mkataba wa kuheshimiana mambo yao ili kulinda majina
 
Hizi habari hazinifunzi kitu cha maana
 
Mganda Huyu kwenye pesa hana mchezo mama tiffa akili kubwa aache mikataba minono kisa vineno vya insta thubutuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…