Mwl sio kawaida kabisa yani ukimsikiliza mrembo Zari unasikia kitu kinaitwa huyu ndio mwanamke sahihi,hivi ndivyo mwanamke anapaswa kuongea juu ya mume au mtu wake amabye kuna vitu vimesha waunganisha hata kama hawako katika hali nzuri lakini ameweka ubinafsi pembeni.
Ukimsikiliza Zari unapata picha ya aina ya wanawake watu ambao wanatakiwa kuwa nao....Sauti ya Zari inaonesha mtu mwenye jukumu la kufanya kwa mume au mtu wake na ambaye hayuko tayari kuharibu au kuona mtu wake ana anguko ati kwa sababu wanapitia kwenye mikwaruzano...
Wanawake wetu wana jambo la kujifunza kwenye maongezi ya Zari....kwakweli Zari si mbinafsi kabisa anaju kabisa kwenye maisha kuna wakati unatoa na kuna wakati wa kupokea......
Kwakweli Zari ana akili sana ndio maana nasema Diamond anayo bahati..............