Mange na vile Vitoto vyake instagram watapata kizungu zungu
Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.
Sasa mwanaume uliekamilika umeijia nini celebrities forum, we ni shilawadu tu kama shilawadu wengineUmbea mwingine kero tupu kwetu wanaume tuliokamilika.
Roho haijatulia kisa hawajaachana, wanadamu kwa kuombea wenzenu mabaya hamjambo. Kisa haijawa mnavyoamini ndiyo unaona ni uongo, eti dunia haina siridunian hakuna siri tutajua tu mda ukifika
Umemtamani sasaMwl sio kawaida kabisa yani ukimsikiliza mrembo Zari unasikia kitu kinaitwa huyu ndio mwanamke sahihi,hivi ndivyo mwanamke anapaswa kuongea juu ya mume au mtu wake amabye kuna vitu vimesha waunganisha hata kama hawako katika hali nzuri lakini ameweka ubinafsi pembeni.
Ukimsikiliza Zari unapata picha ya aina ya wanawake watu ambao wanatakiwa kuwa nao....Sauti ya Zari inaonesha mtu mwenye jukumu la kufanya kwa mume au mtu wake na ambaye hayuko tayari kuharibu au kuona mtu wake ana anguko ati kwa sababu wanapitia kwenye mikwaruzano...
Wanawake wetu wana jambo la kujifunza kwenye maongezi ya Zari....kwakweli Zari si mbinafsi kabisa anaju kabisa kwenye maisha kuna wakati unatoa na kuna wakati wa kupokea......
Kwakweli Zari ana akili sana ndio maana nasema Diamond anayo bahati..............
muda utaongea.....dai mwenyewe kashasema hana mkeHata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.
hatuwaombei ila kwakua wametaka mambo yao yawe hadharan bac yetu macho na maskio muda muafaka ukifika tutajuaRoho haijatulia kisa hawajaachana, wanadamu kwa kuombea wenzenu mabaya hamjambo. Kisa haijawa mnavyoamini ndiyo unaona ni uongo, eti dunia haina siri
Ha ha ha Imebidi nicheke jamani. Sasa mtaimaliza lini inabidi aachie kidogo!Wachaga ni wabahili sana, nimempata demu wa kichaga sasa hivi nashindia kahawa na kashata eti tunajenga nyumba Kijichi. Naona nimeanza kupungua uzito, yaani mpaka tukimaliza hii nyumba ntakuwa nshakufa.
Ha ha ha Imebidi nicheke jamani. Sasa mtaimaliza lini inabidi aachie kidogo!
Ha ha ha. Jamani kama ni- comedian basi wewe namba moja!We acha tu yaani, naona kashanipigia mahesabu mpaka nyumba ikiisha na mimi nimekwisha.
umaarufu wake ni kutembea na wanume maarufu so automatic anajikuta na yeye ni maarufu...rejea marehemu kanumba,charz baba,adrisa,tid,diamond na wengine wengi tu so unategemea wanaume wote hao asiwe maarufu!? tena umaarufu wa kijinga...na nyota ya kipumbavu hiiAchana na Wema! Hilo swali nimeshajiuliza sana lakini sijapata jibu!! Miaka miwili iliyopita wakati huo Wema yuko hot kweli kweli niliwahi kuuliza hivi Wema movie yake ya mwisho inaitwaje na alitoa lini! Sikupata jibu! Hata wanaomshabiki wasingeweza kuwa na jibu!
Lakini pamoja na yote hayo, influence ya Wema ni ya kuogopwa!! The only person anayemshinda Wema ni Diamond peke yake! But it's understandable for Diamond! Jamaa kila wakati anatoa kazi! I doubt asipotoa kazi muda mrefu kama alivyofanya Wema sidhani kama anaweza ku-maintain influence yake!!
Ukisikia watu wanazaliwa na nyota zao basi ni Wema Sepetu!!
umaarufu wake ni kutembea na wanume maarufu so automatic anajikuta na yeye ni maarufu...rejea marehemu kanumba,charz baba,adrisa,tid,diamond na wengine wengi tu so unategemea wanaume wote hao asiwe maarufu!? tena umaarufu wa kijinga...na nyota ya kipumbavu hii
Yaani wanavyopendana ni kama Mgombea wa Ukawa 2015 anavyopendana na ufisadiWanapendana sana hawa wakiweza kuvuka msuko suko huu salama basi itakuwa kazi kubwa kuwatenganisha.
Hahahahaa utajibebaWachaga ni wabahili sana, nimempata demu wa kichaga sasa hivi nashindia kahawa na kashata eti tunajenga nyumba Kijichi. Naona nimeanza kupungua uzito, yaani mpaka tukimaliza hii nyumba ntakuwa nshakufa.
Wema anafanya anaotembea nao kuwa maarufu kama ilivyo kwa Diamond tu! Hao wote uliowataja ukimwacha Diamond na Kanumba hakuna anayemfikia Wema hususani linapokuja suala la influence.umaarufu wake ni kutembea na wanume maarufu so automatic anajikuta na yeye ni maarufu...rejea marehemu kanumba,charz baba,adrisa,tid,diamond na wengine wengi tu so unategemea wanaume wote hao asiwe maarufu!? tena umaarufu wa kijinga...na nyota ya kipumbavu hii