Maongezi ya Shilawadu na Zari kuhusu kuachana na Diamond Platinumz

Maongezi ya Shilawadu na Zari kuhusu kuachana na Diamond Platinumz

Mange na vile Vitoto vyake instagram watapata kizungu zungu

Hebu jiongeze nawewe kusoma hujui hata picha pia?

Ndo walivyo kukana hao ,hata Mond alimkana mtoto wa Hamisa mkamshambulia Mange alipokuja mkubali mtoto mkampongeza Diamond
 
Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.

Few years ago, I cheated on my woman, on our own bed (something which I'm not proud of). Alivyofungua mlango kuingia ndani tu akagundua kuna kitu hakiko sawa hapa. Kwa aibu nikakimbia nyumba wiki nzima. Nilivyorudi akanipokea na kunisamehe, na akabeba ujauzito moja kwa moja. Huwezi amini sasa hivi ni mama wa watoto wangu mapacha. Sasa hivi niko makini na rungu langu, sitaki aibu tena.

Moral of the story: hivi vitu vipo, vinatokea kila siku na watu wanasameheana. Wazazi wetu wanadumu miaka na miaka, lakini hatujui what's happened in their lives throughout all these years!
 
Mwl sio kawaida kabisa yani ukimsikiliza mrembo Zari unasikia kitu kinaitwa huyu ndio mwanamke sahihi,hivi ndivyo mwanamke anapaswa kuongea juu ya mume au mtu wake amabye kuna vitu vimesha waunganisha hata kama hawako katika hali nzuri lakini ameweka ubinafsi pembeni.
Ukimsikiliza Zari unapata picha ya aina ya wanawake watu ambao wanatakiwa kuwa nao....Sauti ya Zari inaonesha mtu mwenye jukumu la kufanya kwa mume au mtu wake na ambaye hayuko tayari kuharibu au kuona mtu wake ana anguko ati kwa sababu wanapitia kwenye mikwaruzano...
Wanawake wetu wana jambo la kujifunza kwenye maongezi ya Zari....kwakweli Zari si mbinafsi kabisa anaju kabisa kwenye maisha kuna wakati unatoa na kuna wakati wa kupokea......
Kwakweli Zari ana akili sana ndio maana nasema Diamond anayo bahati..............
Umemtamani sasa
 
Hata wakati wanaanza mahusiano walisemaga ni project tu walikana,siyo ajabu pia wakikana the beginning of the end ya mahusiano hayo.Wenye akili tulishaelewa it is over btn them.
muda utaongea.....dai mwenyewe kashasema hana mke
 
Roho haijatulia kisa hawajaachana, wanadamu kwa kuombea wenzenu mabaya hamjambo. Kisa haijawa mnavyoamini ndiyo unaona ni uongo, eti dunia haina siri
hatuwaombei ila kwakua wametaka mambo yao yawe hadharan bac yetu macho na maskio muda muafaka ukifika tutajua
 
Watoto watano aende nao wapi? Bora akubali yaishe tu, yule mwingine akitoka mahakamani arudi kwa Majizo.
 
Wachaga ni wabahili sana, nimempata demu wa kichaga sasa hivi nashindia kahawa na kashata eti tunajenga nyumba Kijichi. Naona nimeanza kupungua uzito, yaani mpaka tukimaliza hii nyumba ntakuwa nshakufa.
Ha ha ha Imebidi nicheke jamani. Sasa mtaimaliza lini inabidi aachie kidogo!
 
Ha ha ha Imebidi nicheke jamani. Sasa mtaimaliza lini inabidi aachie kidogo!

We acha tu yaani, naona kashanipigia mahesabu mpaka nyumba ikiisha na mimi nimekwisha.
 
Achana na Wema! Hilo swali nimeshajiuliza sana lakini sijapata jibu!! Miaka miwili iliyopita wakati huo Wema yuko hot kweli kweli niliwahi kuuliza hivi Wema movie yake ya mwisho inaitwaje na alitoa lini! Sikupata jibu! Hata wanaomshabiki wasingeweza kuwa na jibu!

Lakini pamoja na yote hayo, influence ya Wema ni ya kuogopwa!! The only person anayemshinda Wema ni Diamond peke yake! But it's understandable for Diamond! Jamaa kila wakati anatoa kazi! I doubt asipotoa kazi muda mrefu kama alivyofanya Wema sidhani kama anaweza ku-maintain influence yake!!

Ukisikia watu wanazaliwa na nyota zao basi ni Wema Sepetu!!
umaarufu wake ni kutembea na wanume maarufu so automatic anajikuta na yeye ni maarufu...rejea marehemu kanumba,charz baba,adrisa,tid,diamond na wengine wengi tu so unategemea wanaume wote hao asiwe maarufu!? tena umaarufu wa kijinga...na nyota ya kipumbavu hii
 
Umewasahau Dudu Baya, Bambo na Mbowe.
 
Wanapendana sana hawa wakiweza kuvuka msuko suko huu salama basi itakuwa kazi kubwa kuwatenganisha.
Yaani wanavyopendana ni kama Mgombea wa Ukawa 2015 anavyopendana na ufisadi
 
Wachaga ni wabahili sana, nimempata demu wa kichaga sasa hivi nashindia kahawa na kashata eti tunajenga nyumba Kijichi. Naona nimeanza kupungua uzito, yaani mpaka tukimaliza hii nyumba ntakuwa nshakufa.
Hahahahaa utajibeba
 
umaarufu wake ni kutembea na wanume maarufu so automatic anajikuta na yeye ni maarufu...rejea marehemu kanumba,charz baba,adrisa,tid,diamond na wengine wengi tu so unategemea wanaume wote hao asiwe maarufu!? tena umaarufu wa kijinga...na nyota ya kipumbavu hii
Wema anafanya anaotembea nao kuwa maarufu kama ilivyo kwa Diamond tu! Hao wote uliowataja ukimwacha Diamond na Kanumba hakuna anayemfikia Wema hususani linapokuja suala la influence.

Wapo watu ambao walikuwa hawafahamiki kabisa lakini wakaja kufahamika kwa ajili ya Wema. Kwa mfano, Clement Kihondo. Kuna Mwinyi, hakuwa na umaarufu huo hadi alipokuja kuwa na Wema. Hata huyu mume wake dadake na Diamond, umaarufu wake ulikuja baada ya kuwa na Wema! Hata huyo Charz huwezi kumlinganisha na Wema hata kwa robo tangia enzi hizo; at least TID. Na mapenzi yake na TID hayakuwa ya kumfanya awe maarufu.

Unaweza usimkubali lakini linapokuja suala la kupendwa na watu, kutembea kwake na watu maarufu wala sio kigezo manake wanaogongwa na watu maarufu sio peke yake
 
Back
Top Bottom