Maongozi yangu ya kuacha kujichua yalitoka kwa mwanamke

Punyeto ni majanga ilinitesa sana mpaka kuacha ilikua ni kisanga
Sio wewe tu boss vijana wengi ni wagonjwa kuna kipindi niliongea na wanafunzi nikakuta robo tatu wanateseka na hilo janga
 
Mimi nimejitahid kuacha kwa miezi 6 kwa sasa....ila kuacha hii kitu inahitaji roho ngumu sana yan sana kupita maelezo maana mimi nilikua naacha siku 3 narudi...ila saiv nina miezi 6...
Kila kitu ni maamuzi boss, vipi unajisikiaje kwa sasa!!!?
 
Barikiwa mno kaka
 
Inabidi hii kitu ijadiliwe bungeni maana vijana saiv kwisha
Jambo zuri kama umeliona hili, tatizo wazee nao wamo kwenye hili janga kaka, kuna wazee simu zao zimejaa pono kiasi mtoto akiishika anatamani kumuua, nilishuhudia mzee akiangalia porn kene daladala
 
Tafta mwanamke utaacha, ukiendeleza udomo zege utapiga mgalala mpaka ufe bobu!
 
Pole sanaa na hongera kama umeweza kuachana na hiko kitu coz watu wengi wamekua addicted
 
We ni mkweli Hongera_punyeto haiachiki Ila unaweza kujifunza kuipunguza Makali. ISIKULIPUE mno
 
Huyo mwanamke aliyesababisha uache, ulimpata?
 
Mimi nimejitahid kuacha kwa miezi 6 kwa sasa....ila kuacha hii kitu inahitaji roho ngumu sana yan sana kupita maelezo maana mimi nilikua naacha siku 3 narudi...ila saiv nina miezi 6...
Ndo uxhatusua mkuu miez sita wakat me nikifikisha week napiga magoti ajab week ijayo km kwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…