Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wewe tu boss vijana wengi ni wagonjwa kuna kipindi niliongea na wanafunzi nikakuta robo tatu wanateseka na hilo jangaPunyeto ni majanga ilinitesa sana mpaka kuacha ilikua ni kisanga
Kila kitu ni maamuzi boss, vipi unajisikiaje kwa sasa!!!?Mimi nimejitahid kuacha kwa miezi 6 kwa sasa....ila kuacha hii kitu inahitaji roho ngumu sana yan sana kupita maelezo maana mimi nilikua naacha siku 3 narudi...ila saiv nina miezi 6...
Pamoja sana kaka, kikubwa ni kupata kitu kidogo tu cha kujifunzaSomo zuri sana hili..nimejifunza kitu cha msingi
Barikiwa mno kakaKuacha ghafla ni vigumu,na amini tu kwamba kuiacha punyeto kabisa nako ni kugumu vilevile ila kupiga mara moja ka hamu baada ya miezi mitatu sio mbaya{sisemi iendelee kufanywa ila kama mtu zile fikra zinakujia bado na huwezi kuzishinda}...nimeowa ila still kuna wakati huwa najilipua kimoja kuchangamsha damu na maisha yanaendelea ila sasa ni kipindi kidogo sijafanya.ila punyeto ni hatari sana sio jambo la kujaribu kwa ambaye hakuwahi kufanya.
Utafanikiwa broNina miezi 6 yani sitaki hata kufikiria kurudi ila inahitaji uwe umeamua haswa kuacha..yan umedhamiria
Jambo zuri kama umeliona hili, tatizo wazee nao wamo kwenye hili janga kaka, kuna wazee simu zao zimejaa pono kiasi mtoto akiishika anatamani kumuua, nilishuhudia mzee akiangalia porn kene daladalaInabidi hii kitu ijadiliwe bungeni maana vijana saiv kwisha
Hahahaha kabisa kakaKwa hili jambo kila mtu anajijua moyoni
Hahahahaha kabisa kakaIna addiction mbaya sana mtu unaeza sema unaenda chooni ukifika huko unajilipua kimoja chap kwa siri sana we na shetani wako
AmenNashani 55%+ ya vijana wwnye shida ya upungufu wa nguvu hizo ni punyeto na porno...halipo kwenye chakula hili tatizo
Umenikumbusha sekondari [HASHTAG]#Chaputa[/HASHTAG]Mimi pia nilikua mwanachama ila nimejitoa chaputa
Pole sanaa na hongera kama umeweza kuachana na hiko kitu coz watu wengi wamekua addictedIlianza kama utani tu nikiwa nimekaa mwenyewe chumbani kwangu wakati nimeingia kwenye mitandao ya kijamii kuchati na kusoma yanayoendelea humo, ila baada ya muda nikaona mbona hamna jipya humo nakiangalia salio la bando nikakuta nina bando la kutosha, sasa nikaanza kujiuliza nifanye nini kingine tena kwenye simu yangu!!????
Basi nikaamua kuangalia na kupakua picha na video za ngono nikawa naangalia mara ya kwanza sikuona madhara makubwa sana kwangu niliona kama ni za kawaida tu, lakini nikiwa kijana ambaye sikuwa nimekutana na mwanamke toka nimezaliwa nilijikuta najiingiza kwenye dibwi kubwa ambalo si rahisi kujitoa lakini kwa wakati ule sikulitambua hilo.
Ghafla kakaanza katabia kila nikipakua picha zile na video za ngono nikaanza kujichua (kufanya punyeto) mara ya kwanza ya pili, ya tatu basi ikawa hivyo ikawa ni tabia sasa kila siku lazma nifanye kile nilichokuwa nakifanya jana ikafika pahala nikaona mbona ni kitu cha kawaida hiki!?
ILA SIKU ZILIVYOZIDI KWENDA HALI YANGU YA KIAFYA IKAANZA KUBADILIKA ...
(a) Mwili ukadhoofika na kushindwa kusimama kwa muda mrefu kwani viungo vyote vya mwili vikawa vinauma mpaka UTI wa mgongo nao ukawa unaleta shida mno.
(b) Nikaanza kupoteza kumbukumbu, hivyo nikawa msahalifu hata kwa jambo ambalo niliambiwa asubuhi nikajikuta jioni nimeshasahau HII ILIPELEKEA KUSHUKA KWA UWEZO WANGU DARASANI kiasi cha walimu kuniita na kuniuliza ni nini kilikuwa kinanisibu.
(c) Nikaupoteza utu wangu kiasi cha kufikia wakati sioni Thamani ya mwanamke katika maisha yangu kwa kudhani kuwa kile kitu ambacho nilipaswa kukipata kwa mwanamke sasa naweza kukipata nikiwa mwenyewe chumbani Kwa kutumia simu yangu ya mkononi au Laptop yangu (KOSA KUBWA HILI)
(d) Kutokujiamini kukazidi kuongezeka mwilini mwangu kiasi cha kukimbia wanawake haTa Kama tunafanya wote kazi za makundi darasani hata uwezo wawangu wa kujieleza sehemu yeyote ukapptea kabisa.
(e) Siwezi kusahau mara ya kwanza kukutana na mwanamke kimwili kwani sikuweza kufanya chochote akiwa pale kitandani taswira zilizokuwa zikinijia ni za zile video za ngono nilizokuwa nikiangalia kiasi kwamba baada yeye kuvua nguo zake mimi nikawa tayari nimeshamaliza kila kitu hivyo kumuacha dada wa watu akiwa na kiu wakati mimi nilishamaliza kiu Yangu tayari nilishamaliza.
(f) Sikuwa tofauti na Teja wa madawa ya kulevya kwa tulikuwa tunacheza mipira tofauti kwenye uwanja mmoja ilifika pahala nikimuona mwanamke sehemu yeyote ile naweza kumvua nguo kwa kutumia fikra zangu na kumaliza shida zote.
(g) Nilitumia nguvu nyingi za kifikra kumtoa mwanamke darasani au barabarani kimawazo na kumleta chumbani kwangu kwa ajili ya kujichua kumbe fikira hizi ningeweza pia kuzitumia kufanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi kama tu ningeztumia katika mfumo ulio chanya.
[HASHTAG]#UKWELI[/HASHTAG] usiopingika kuwa kuwa asilimia karibu 80% ya vijana na wazee ni mateja wa picha na video za ngono na hizi zimekuwa na madhara makubwa kiafya na kiakili kwao, na sasa tunapokuja kuongelea MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME tunaweza kujua ni wapi tuanzie.
[HASHTAG]#JINSIYAKUACHA[/HASHTAG].
Zipo njia nyingi za kuacha uteja huu ambazo zimekuwaiwa na wataalamu mbalimbali zikishauriwa na wataalamu mbalimbali jinsi ya kuachana na uteja huu, mimi nilijaribu nikaacha kwa siku mbili na baada ya muda nikarudi kulekule nilikotoka.
Njia rahisi na ngumu ya kuacha uteja wa picha na video za ngono pamoja na kujichua au kufanya punyeto ni KUAMUA KUACHA KWA HIYARI YAKO MWENYEWE.
>Siwezi Kusahau mara ya kwanza nilimona mwanamke ambaye sikuwahi kuongea nae ila nilimpenda na nikajiukiza hata kama nikamwambia nampenda akanikubalia je ataweza kudumu na mimi na haya matatizo yangu niliyonayo...? Hivyo kabla ya kumueleza yule mwanamke HISIA zangu kwanza ilibidi NIPAMBANE NA HALI YANGU KWANZA na huo ndio ukawa mwisho wa uteja wangu.
Hivyo mwanamke ndiye aliyekuja kuwa mwokozi wangu.
CHAGUA SASA NJIA GANI UPITE....
RasJohn
kweli kabisa..upo sahihiPamoja sana kaka, kikubwa ni kupata kitu kidogo tu cha kujifunza
We ni mkweli Hongera_punyeto haiachiki Ila unaweza kujifunza kuipunguza Makali. ISIKULIPUE mnoKuacha ghafla ni vigumu,na amini tu kwamba kuiacha punyeto kabisa nako ni kugumu vilevile ila kupiga mara moja ka hamu baada ya miezi mitatu sio mbaya{sisemi iendelee kufanywa ila kama mtu zile fikra zinakujia bado na huwezi kuzishinda}...nimeowa ila still kuna wakati huwa najilipua kimoja kuchangamsha damu na maisha yanaendelea ila sasa ni kipindi kidogo sijafanya.ila punyeto ni hatari sana sio jambo la kujaribu kwa ambaye hakuwahi kufanya.
Ndo uxhatusua mkuu miez sita wakat me nikifikisha week napiga magoti ajab week ijayo km kwaMimi nimejitahid kuacha kwa miezi 6 kwa sasa....ila kuacha hii kitu inahitaji roho ngumu sana yan sana kupita maelezo maana mimi nilikua naacha siku 3 narudi...ila saiv nina miezi 6...
Kwa hili jambo kila mtu anajijua moyoni