Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala.
Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa ufahamu.
Hakuna mahali spika ametoka akaikosoa serikali nje ya utaratibu hapa mkuu amechemka Ukisoma zile kanuni kule bungeni utaona kabisa wamepewa protection kusema jambo lolote dhidi ya serikali ila sio nje ya bunge.
Hivyo basi Kauli ya Spika kwa serikali nje ya bunge ni kitendo uwenda kitaugharimu U spika wake muda wowote 2022. Stay tuned