Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Itakuwa vema kama atajiuzulu pamoja na Covid 19 wa upinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mkuu kipindi tunamkosoa marehem john Pombe ulikua mkali na ulitukebehi pamoja kutupa mitusi.nashangaa kuona umebadili gia angani.apart from that unayonena ni sahihi kabisa.Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Achana nae huyu!Lakini mkuu kipindi tunamkosoa marehem john Pombe ulikua mkali na ulitukebehi pamoja kutupa mitusi.nashangaa kuona umebadili gia angani.apart from that unayonena ni sahihi kabisa.
Spika wa bunge la JMT huchaguliwa na wabunge wa vyama vyote bungeni!
Kazi ipo.Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Kama kweli bunge tulilo nalo kwa sasa unalifahamu, then unataka kuvuruga mjadala.CCM, Chadema. Cuf na ACT wazalendo!
Mhe. Job hana cha kupoteza, pamoja na kuwa ni mwanachama wa chama kinachounda serikali lakini anasimamia muhimili unaojitegemea.
Ndio maana #KatibaMpya ni muhimu ili muhimili wa bunge ujitegemee. Tukisema muhimili wa bunge ukae kimya kwa sababu za kichama tutakuwa hatuendelei.
Lakini mkuu kipindi tunamkosoa marehem john Pombe ulikua mkali na ulitukebehi pamoja kutupa mitusi.nashangaa kuona umebadili gia angani.apart from that unayonena ni sahihi kabisa.
Na ajabu wananchi wanaona ni sawa na wanashabikia. Japokuwa simkubali Ndungai ila bunge lipo kusimamia serikali hivyo sioni kosa la spika kuwa na mawazo tofautiNchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Ila unakubaliana na mimi hakupaswa kumpinga kiongozi ambaye ndio mwenyekiti wake wa chama na yeye ni mwanakamati sijuwi kama unanielewa lakini..Mhe. Job hana cha kupoteza, pamoja na kuwa ni mwanachama wa chama kinachounda serikali lakini anasimamia muhimili unaojitegemea.
Ndio maana #KatibaMpya ni muhimu ili muhimili wa bunge ujitegemee. Tukisema muhimili wa bunge ukae kimya kwa sababu za kichama tutakuwa hatuendelei.
Leo ndio umefahamu hili wewe mataga?Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Wabunge wakisifia Seriakali mnalalamika wakilaumu mnalalamika...
Mimi niko Spika, huwezi ukakopa ukaenda jengea Vyoo,acheni kumpa kichwa Rais wenu
Tangu lini bunge linajitegemea?binge ni la ccm,sio LA wananchiMhe. Job hana cha kupoteza, pamoja na kuwa ni mwanachama wa chama kinachounda serikali lakini anasimamia muhimili unaojitegemea.
Ndio maana #KatibaMpya ni muhimu ili muhimili wa bunge ujitegemee. Tukisema muhimili wa bunge ukae kimya kwa sababu za kichama tutakuwa hatuendelei.
I concur, mediocre of allKatika maspika wote waliowahi kuhudumu ndani ya nchi ndugai ni spika mbovu kuwahi kutokea tangu kupata uhuru!
Kazi ya muhimili wa Bunge sio kuisimamia na kuishauri serikali kama zamani?Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala.
Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa ufahamu.
Hakuna mahali spika ametoka akaikosoa serikali nje ya utaratibu hapa mkuu amechemka Ukisoma zile kanuni kule bungeni utaona kabisa wamepewa protection kusema jambo lolote dhidi ya serikali ila sio nje ya bunge.
Hivyo basi Kauli ya Spika kwa serikali nje ya bunge ni kitendo uwenda kitaugharimu U spika wake muda wowote 2022. Stay tuned
Heheee inauma?Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
👊👊👊...Give em guns,step back watch em kill each other...
Never interrupt your enemy when they are making a mistake...